Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Narudia tena siku uo msikiti ukivunjwa vita ya tatu itaanza! Japo mi mi mkristu ila uo ndo ukweli
Mkisto jina nakuambia huu msikiti soon unabomolewa Mungu akupe uhai ili ushuhudie
 
Kama ntasogeza ukucha aula! Mdhalimu ajaribu athubutu kuuvunja, wabillahi tofiq WALLAHI naapa tena MZAYUNI atakiona kilichomnyoa kanga.

Two obstacles to building the temple​

According to Reagan, there are currently two major obstacles to the reconstruction of the third temple.

The first is, of course, the location. The third temple must be built in the same place that was home to the previous two temples. This is because the "Holy of Holies" must be in the same place. The issue here is that no one knows where exactly the other temples were built. It is most commonly held by scholars that the correct place is where the Dome of the Rock now stands.
 
Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
ndugu kuwa mpole, watavunja tu muda si mrefu, na hauna lolote utakalofanya. because you are nothing.
 
Wazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
kumbuka ninyi mmekuja juzi tu, hao wazayuni walishajenga hekalu la suleiman hapo kwenye temple mount enzi, miaka ya crusades wakristo waliposhindwa ndio sultan wenu alivunja na kujenga huo msikiti, ila pale lilikuwepo hekalu la kiyahudi, na wanataka lijengwe upya. ninyi wa juzi tu mnawafokea waliowatangulia?
 
Misahafu yenyewe imebadilishwa badilisha kinyama...Kuna maverse Allah aliyashusha leo hayamo hata kwenye Quran...Quran zenyewe zipo kibao Na zinatofautiana kinyama
Mkuu usiniambie????
 
ndugu kuwa mpole, watavunja tu muda si mrefu, na hauna lolote utakalofanya. because you are nothing.
Hiyo vita usitegemee itapiganwa na waislamu au wapalestina peke yao. Hiyo itahusisha dunia nzima. Amini nakwambia mtu mpole kuna siku akiamua anaona njia iliyobak ni kufa tu,sa usitegemee atakufa kizembe
 
Nakushauri ndugu uende kusoma English college ili kujifunza kutafsiri na pia uache mihemuko na uongo
 
Hiyo vita usitegemee itapiganwa na waislamu au wapalestina peke yao. Hiyo itahusisha dunia nzima. Amini nakwambia mtu mpole kuna siku akiamua anaona njia iliyobak ni kufa tu,sa usitegemee atakufa kizembe
kwamba ulaya yote, marekani na israel wataanza kupigana wao kwa wao au waarabu watawategemea Urusi ambayo siku zote imekuwa ikiwadanganya? angalia urusi alisimama akijifanya anaitetea Syria lakini leo hii syria ni magofu faida ya mrusi ni nini?mwarabu ana uwezo kupigana na nani hapa duniani zaidi ya kupigana na wanamgambo vibaka
 
hubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Mkuu mbona unaandika kwa mihemko hivyo?
Inaonekana na historia yake huijui kabisa!
 
Back
Top Bottom