zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
🤣🤣🥳 boss acha hadithi za kachumbari
Inaweza onekana anaongea ujinga lakini huo ndio ukweli. Palestine ipo strategic ndio maana ni kma njiapanda ya mabara matatu. So in case ya Vita eneo kma hilo ni strategic sana. No wonder hata Djibouti ina military base kibao sababu ya location yake kwenye njiapanda ya kuelekea Ulaya na Asia.Kwanini waende in th first place kwanini wasingeenda Saudia au Oman au Taifa lolote lenye rasilimali za kutosha wakabanane na Palestina??
USA anafahamu bila Ally pale mashariki ya kati basi siku Iran au nchi za kiarabu zikiamka basi inakua ngumu kupambana kma hauna mshirika otherwise asingekua na faida yoyote na eneo la Palestine. Hamjiulizi kwanini Turkey anabembelezwa sana licha ya kuwa na Rais dikteta!! Ni sababu wanamhitaji mnoo kma front ya kupambana na Russia ulaya mashariki.
Israeli si lolote bila msaada wa kijeshi wa Marekani kila mwaka. Huwezi jisifia ni taifa la Mungu wakati unategemea pesa za mtu ili ushinde vita!! Ssa hapo utukufu ni Kwa Mungu au binadamu??