Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Yaelekea unaijua vizuri historia ya haya mambo wewe na mleta UZI, hebu tufafanulieni, nini kilitangulia hapo? Msikiti wa Kiislamu au hekaru la Wayahudi? Tunahitaji ilimu hi tusioijua vizuri; ninacho kiona kwasasa mnabishana, tupeni elimu tafadhari
Akijibu nipigie simu nimsikilize.😝😝😝😝😝
 
Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Mkuu kila kilichotabiriwa kwenye Biblia Ni LAZIMA kama bado hakijatokea, basi ni kitakuja kutokea tu hata kama itapita miaka mingi. Haijalishi wanadamu watapinga kwa nguvu au uwezo wao wote.
 
Mkuu amini!amini! amini! haya sio mawazo yetu, bali ni ufunuo kutoka kwa ALLAH kwenye QURAN tukufu kupitia mtume wake Muhammad(s a w)
Yes...Ni ufunuo wangu.. sema siku iyo nafunua msuli nilikuwa nimeshiba maharage
 
Akijibu nipigie simu nimsikilize.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Najibu! Roma zamani (Vatican)ilikuwa makao makuu ya miungu ya warumi, leo hii ni makao makuu ya Christian Roman catholic church na kanisa kuu ST. PETER ndio limejengwa hakuna tena habari ya miungu ya WARUMI. basi na hekalu la SOLOMON nalo lipo kihivo hakusalia Mosses wala JESUS, sasa iweje leo wazayuni wadai kuwa ni sehemu yetu takatifu nawakati MUHAMMAD kaujenga msikiti mtakatifu na wao walikua wapi?
 
Una mtindio?
 
Ulielewa swali?
 
Mkuu kila kilichotabiriwa kwenye Biblia Ni LAZIMA kama bado hakijatokea, basi ni kitakuja kutokea tu hata kama itapita miaka mingi. Haijalishi wanadamu watapinga kwa nguvu au uwezo wao wote.
Mkuu ujue pia, kilichoandikwa kwenye QURAN TUKUFU(MSAHAFU MTAKATIFU)hakiwezi kupadilika na itatokea kama kilvyo bainishwa na ALLAH. kwa vile Quds(Jerusalem) ni mji wa kiislam na AL-AQSA ni pahala takatifu na msikiti mtakatifu wa waislam!
 
Wayahudi wao ni wafuasi wa Torati ya Mussa sio wafuasi wa Mfalme Suleyman na enzi za Suleyman zimepitwa na wakati ikiwa wakidai hapo lilikuepo hekalu la mfalme Suleyman.
Sule alikuwa mfalme wa Saudi au wa Israel? Sasa watu wanamuenzi mfalme wao we kinakuuma nini. Ni kama nyie mnavyomuenzi JIWE kwa kumjengea SANAMU
 
Najibu! Roma zamani (Vatican)ilikuwa makao makuu ya miungu ya warumi, leo hii ni makao makuu ya Christian Roman catholic church na kanisa kuu ST. PETER ndio limejengwa hakuna tena habari ya miungu ya WARUMI. basi na hekalu la SOLOMON nalo lipo kihivo hakusalia Mosses wala JESUS, sasa iweje leo wazayuni wadai kuwa ni sehemu yetu takatifu nawakati MUHAMMAD kaujenga msikiti mtakatifu na wao walikua wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mo aliujenga lini?
 
Back
Top Bottom