Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Wazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
[emoji851][emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha unazi jibu swali
 
Siku wazayuni wakivunja uo msikiti ndiyo siku itapotokea vita ya tatu ya dunia!
 
Siku wazayuni wakivunja uo msikiti ndiyo siku itapotokea vita ya tatu ya dunia!
Nani huwa anakudanganya?Wenzio wanapokea vichapo kiiilaa siku huko.Weye umekaa unakula mihogo kivunde na changudoa tu!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
 
Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
Hivi hayo mawazo huwa mnapewa na akina nani?Mnasononesha sana.😝😝😝😝😝
 
Hivi hayo mawazo huwa mnapewa na akina nani?Mnasononesha sana.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mkuu amini!amini! amini! haya sio mawazo yetu, bali ni ufunuo kutoka kwa ALLAH kwenye QURAN tukufu kupitia mtume wake Muhammad(s a w)
 
Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
Mkuu upo serious? Unadhani nchi ipi au waislam wa wapi wataongoza mapambano siku msikiti ukianza kuvunjwa?

Unajua ule msikiti umevunjwa huko India likajengwa hekalu la Wahindu na hakuna Muislam aliyenyanyua mdomo? Itakuwa hivyo hivyo wazayuni watakapovunja msikiti wenu
 
Mkuu tafautisha Msikiti wa AYODHYA uliovunjwa na makafiri wa kihindu na msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa wapili kwa utakatifu kwa waislam. Al-Aqsa ukivunjwa wallahi Israel itachimbika!
 
Wazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
Yaelekea unaijua vizuri historia ya haya mambo wewe na mleta UZI, hebu tufafanulieni, nini kilitangulia hapo? Msikiti wa Kiislamu au hekaru la Wayahudi? Tunahitaji ilimu hi tusioijua vizuri; ninacho kiona kwasasa mnabishana, tupeni elimu tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…