Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

Unataka nitetee Nini?

Tuanzie hapo
Wewe umesema wayahudi wanasema ni mfalme wa babeli ,sijakubishia ,wayahudi wanamitazamo mingi tofauti hata zile Aya za kimasihi , kwakuwa na wewe unakubaliana na mtazamo wao kwenye hiyo isaya 14 ,basi Nikakupa maswali kama unavyodai ,hujayajibu



Labda niyarudie kwakuwa unasema ni mfalme wa babeli ,maswali ni haya

Lini Mfalme wa Babeli “alikuwa juu” kama andiko linavyosema, na ni wapi maandiko yanathibitisha kwamba alianguka mbinguni?

Je, Mfalme wa Babeli anaweza kweli “kupanda mbinguni” au kuishi katika kiti cha enzi cha mbinguni, au hili ni maneno ya kifalme/kishairi?

Andiko linaposema “nyota ya asubuhi, mwana wa alfajiri”, je, hili ni jina la kifalme la kibinadamu au jina la kiumbe wa kiroho?

Ni kwa nini maandiko yanatumia maneno ya kifalme kama kupanda, kushuka, kiti cha enzi, ambayo kwa ufahamu wa kifalme ni metaphor, si literal?



KAMA HUWEZI KUYAJIBU UNALETA UBISHI WA NINI HAPA
 
Nitarudi ngoja ninywe value na ugoro mixer bange akili ichangke
 
Haya maswali nishakuambia kawaulize wayahudi.

Nimekuambia weka tafsiri ya andiko hilo Kwa wayahudi na Kwa wakristo pia.

Ukishaleta ndo tuanze mjadala wa mada yako kama kichwa cha Uzi kinavyosema

Kama huwezi tuishie hapa
 
Hatujapewa kivipi ? Kwamba Mungu alisubiri Hadi karne ya 7 ndio akaleta elimu ya majini ?

Majini ni mapepo wachafu Mzee, kama umewahi kumuombea mwenye mapepo na majini utanielewa

Majini ni aina tu ya mapepo
Mapepo wachafu kwa maana hiyo kuna mapepo masafi?
 
Umesema mapepo ni hao hao majini

MUHAMMAD anasema Kuna majini wazuri na wabaya

So je Kuna mapepo wazuri na wabaya? Unakubalina na hili jambo
Nakubaliana na uwepo wa majini wazuri na wabaya

Mapepo ni wachafu Moja Kwa Moja hakuna Pepo mzuri.

Jini mbaya= Pepo (mapepo)
 
Umeshaishiwa point unazunguka zunguka tu na majini yako.
Juzi wenyewe kwa wenyewe mmetumiana majini mmemuua mwenzenu kwa jinsi mlivyo na roho mbaya yaani hampendani kabisa.
Mnafitiniana wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…