Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

Acha kuleta tafsiri zako nataka tafsiri za jumla na rasmi kutoka kwa wayahudi wenyewe na wakristo, ww sio mtafsiri wa maandiko maana yote yashatafsiriwa toka kale kwahyo acha ujuaji leta tafsiri ya hayo maandiko kutoka Kwa upande wa wayahudi na upande wenu wakristo
 
Upande wa Mungu yuko Mungu na malaika wake.
Upande wa Shetan yuko Shetani na malaika alioshuka nao kipind anatupwa ulimwenguni.
Ambao ni mapepo/majini.

Najua Quran unaielewa vizur.
Quran 7 :27
Eny wanaadamu! Asije Shet'ani kukufitinini kama alivyo watoa wazazi wenu Peponi, akawavua nguo zao kuwaonyesha tupu zao. Hakika yeye na kabila yake wanakuoneni, na nyinyi hamuwaoni. Hakika Sisi tumewafanya Mashet'ani kuwa ni marafiki wa wasio amini"

Msisitizo weka "yeye na Kabila lake wanakuoneni"

Ina maanisha Yeye (Shetan pamoja na majini wake)
 
Ww umeanza lini kutafsiri maana ya maandiko?
 
Hakuna malaika alieasi kama ww unaandiko linasema hivo leta hapa acha ngonjera
ENOUGH



Kumbuka haya maneno


“Kuna level ambayo mtu akifika hatakiwi kubisha vitu kama hivi
Kwa kuwa kuna mengine yasiri za juu ambazo Mungu anataka kumuambia mtu ambazo hutopewa kirahisi kama vitu vidogo ukiambiwa unabisha “
In highest dimensions where there are no limitations , and easy for a person to not reach there because of many doubts and limitations in his mindset

Vitu vingine ambavyo mtu anafunuliwa na Mungu ambavyo pia havipo kwenye bible
Kwa mtu wa Rohoni ni rahisi kutambua au kufanya observation na kupata jibu

Ila mwingn atasema imeandikwa wapi “
 
Mimi sileti tafsiri Bali nakupa maandiko yanavyojitafasiri ,

Nimekupa Aya za Petro mtume na Yuda mtume , sasa unataka niwapuuze Hawa nilete porojo?

Unajua kwa nini maandiko ya 2 Petro 2:4 na Yuda 1:6 yanasema wazi kuwa kuna malaika waliomuasi Mungu, tofauti na Mfalme wa Babeli?

Nimekuuliza maswali hapo unijibu maana unakazania ni mfalme wa babeli kisa unasema Wayahudi wanasema hivo ,

Mzee wayahudi pia wanakataa kafara ya Yesu ,
 
Uislamu ni mojawapo ya dini za shetani ibilisi
 
Maelezo yote haya ya kazi gani, nimesema leta tafsiri ya maandiko hayo unaanza kuleta ujuaji
 
Leta tafsiri ya hiyo isaya mbona nisimpo tu, mm nakubali zote za wayahudi na za wakristo.

Kwann jambo hili linakua gumu kwako mtumishi Hamis?
 
Mm agano jipya sijawah tumia kama reference Hasa katika maneno ambayo sio ya YESU mwenyw tuishie hapa.

Kama unaandiko linalosapot hoja Yako kutoka kwenye agano la kale weka hapa kama huna kwaher

Kutokutumia ww haiondoi uhalisia wa jambo lenyewe.

Nimekuwekea na kwenye Quran ili ujue Shetan hakushuka mwenyewe.
Alishuka na kundi lake
 
Nimekupa Aya za mitume wetu unazibagua

Mimi Sina msaada na wewe
Hakuna Aya niliyobagua hata moja, nakubali maandiko yote kutoka Dini zote.

Weka tafsiri ya isaya hiyo ulosema acha kukimbia ndo nasemaga ww ni mweupe na sio mtu wakujadil kwahoja, ukibanwa unakimbia
 
Kutokutumia ww haiondoi uhalisia wa jambo lenyewe.

Nimekuwekea na kwenye Quran ili ujue Shetan hakushuka mwenyewe.
Alishuka na kundi lake
Sipingi unayosema, lakin hoja yangu hakuna malaika alieasi na atakae asi kamwe, ukileta maandiko kwenye agano la kale yanayosema hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…