Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah


Agano la kale.
Kasome Ezekiel 28 :11-19.

Wanasema juu ya kiumbe malaika kilichoinuliwa, mmoja wa viumbe wa Mungu, ambaye alikuwa na kiburi. Aliamua kuchukua ufalme wa Mungu kwa ajili yake mwenyewe. Lakini Mungu alimwondoa kutoka nafasi yake.

Na anayesemwa hapo ni shetan.

Hebu soma kwanza.
Maana umeshupaza sana unataka andiko la agano la kale
 
Hiyo Aya inamuhusu mfalme Tiro

Hivo tafsiri za malaika mnazitoaga WAPI?
 
Wewe ujinga umepiga nanga kichwani hakuna namna ya kukuokoa.
Unapoteza muda wako wote kuuandika huu ukoko wa uzushi badala ya kutumua muda huu kufuta huo ujinga sugu. Badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…