Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,411
- 3,941
Kwa hivyo zile nchi za kiarabu Tunisia, Morocco nk ambazo zilifanyaga maandamano kuwafurusha viongozi washenzi wenyewe hawajui mafundisho ya Allah kuwazidi nyie bakwata??.
Waislam waliofanya maandamano nchi zile walikiuka mafundisho ya Mtume wa Allah, na Mtume hakuwa akizungumza kwa matamanio yake, aliyoyasema ni ufunuo kutoka kwa Allah. Hivyo walimuasi Allah na Mtume wake. Allah Awasamehe madhambi yao. Na baada ya kuwafurusha hao viongozi hali ikawaje?