Msilaumu sana tofautisha kati ya PhD, MA/ Msc etc na Madrasa awards

Msilaumu sana tofautisha kati ya PhD, MA/ Msc etc na Madrasa awards

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo.

But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
 
FB_IMG_1763144290307.jpg
 
Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Ee Allah, ijaalie nchi yetu ya Tanzania iwe na Amani.

Nawanasihi ndugu zangu ninaowapenda mno, yaani Waislam, tutulie na tuwe na subra na tujiepushe na fitna, tukae mbali na fitna, tumtii mtawala (katika yasiyo maasi) na tuendelee kumuomba Allah Ailinde na Kuihifadhi nchi yetu ya Tanzania na Aiepushe na Fitna, vita na machafuko ya aina zote, Allahumma Aamiin. Tuwanasihi ndugu na jamaa zetu wawe watulivu na wakimya wawaache wajuzi wa mambo kuyazungumzia mambo haya. Na tushikamane na Dini yetu barabara na kuifuata kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah juu ya Ufahamu wa Wema waliotangulia na tuwasikilize Wanachuoni wetu na Masheikh zetu waliosimama katika njia ya Salaf Swaalih (Wema waliotangulia).

Tukae mbali na fitna.
 
Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo.
But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
Aisee TEC ni balaa
 
Kama
Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Ee Allah, ijaalie nchi yetu ya Tanzania iwe na Amani.

Nawanasihi ndugu zangu ninaowapenda mno, yaani Waislam, tutulie na tuwe na subra na tujiepushe na fitna, tukae mbali na fitna, tumtii mtawala (katika yasiyo maasi) na tuendelee kumuomba Allah Ailinde na Kuihifadhi nchi yetu ya Tanzania na Aiepushe na Fitna, vita na machafuko ya aina zote, Allahumma Aamiin. Tuwanasihi ndugu na jamaa zetu wawe watulivu na wakimya wawaache wajuzi wa mambo kuyazungumzie mambo haya. Na tushikamane na Dini yetu barabara na kuifuata kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah juu ya Ufahamu wa Wema waliotangulia na tuwasikilize Wanachuoni wetu na Masheikh zetu waliosimama katika njia ya Salaf Swaalih (Wema waliotangulia).

Tukae mbali na fitna.
Kama mtume ndivyo alivyoagiza uislam ufanye kama masheikh walivyofanya basi alifanya kazi ya bure
 
Nimecheka sana leo, loh! Kama yule mzee wa UDSM na gentleman degree yake🤣🤣🤣 alafu eti ndo master wa kipofu😮😮😮🤯🤯
 
Kama

Kama mtume ndivyo alivyoagiza uislam ufanye kama masheikh walivyofanya basi alifanya kazi ya bure

Katika Uislam tunafundishwa kuwa matendo ya watu yanaoneshwa/yanadhihiri kupitia watawala wao.

Yaani inakuwa ni kama wanatazama kioo. Watu wakiwa wema na wachaMungu na watawala wao watakuwa wema na wachaMungu. Watu wakiwa ni watenda dhambi, madhalimu, waovu, matapeli, wezi na wahuni na tabia nyengine mbaya na maovu mengine basi watawala wao watakuwa kama wao.

Allah huwatawalisha madhalimu juu ya madhalimu wenzao na huwapa nguvu baadhi ya madhalimu juu ya madhalimu wengine kama Adhabu kwao kwa yale walioyatenda.

Madhalimu huoneshwa athari ya wanayoyafanya kupitia watawala wao. Na Waislam tunafundishwa Adhabu ya Allah haiondolewi kwa upanga bali kwa kujinyenyekeza kwa Allah na kushuka chini (kutokuwa na kibri) kutubu na kumuomba Allah Atusamehe na kukithirisha Dua na matendo mema.

Kutumia upanga dhidi ya mtawala hakutabadilisha kitu, bali hali itazidi kuwa mbaya. Na kheri zilizokuwepo zitaondoka au kupungua kuliko hapo awali. Hili limeshuhudiwa na linashuhudiwa.

Katika Uislam tunafundishwa kuwa watu wakitaka waondoshewe watawala madhalimu, waache wao dhulma kwanza.

Na mafundisho ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) kwa Waislam ni kumtii mtawala (katika yale yasiyokuwa maasi) hata kama huyo mtawala ni muovu na dhalimu na anatunyima haki zetu. Tumeambiwa tumpe mtawala haki yake na akitunyima zetu tuzidai kwa Allah.

Kuna hikma kubwa katika hili, ukitizama kijuu juu kwa jazba unaweza usielewe ila kuna hikma kubwa. Kuwepo kwa mtawala hata kama ni dhalimu na muovu hilo ni bora zaidi kuliko anarchy na chaos na fitna. Ni lesser evil dhidi ya greater evil.

Tumekatazwa kumkosoa mtawala hadharani na tukafundishwa tukitaka kumnasihi mtawala tumnasihi kwa siri, kinyume na hapo tuwe na subra. Na tumekatazwa kufanya uasi dhidi ya mtawala Muislam na hata huyo mtawala asiye Muislam haifai kumtoa kama hamna nguvu ya kumtoa au hata kama nguvu mnayo ila kumtoa kutasababisha umwagaji wa damu na fitna.

Dhulma imepigwa vita sana katika Uislam, iwe ni dhulma ya mtawala au raia, imepigwa sana vita. Bali kuna Hadith kabisa za Mtume akikemea na kuonya watawala madhalimu. Ila pia Dini yetu imetuwekea taratibu za kuamiliana na mtawala.

Na Allah ni Mjuzi zaidi.
 
Hii itakua BAKWATA hii sio Maulamaa wa Shula au huyu atakua mfuasi wa Shekhe Rusaganya
 
Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo.
But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa

IMG-20251115-WA0022.jpg

KKKT

Pale KKKT ukitaka kuwa Mchungaji sharti la kwanza uwe na wito. Pili, usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 au 2. Then uende Chuo Kikuu Makumira au chuo kingine kinachotambuliwa na Kanisa ukasomee shahada ya Theolojia kwa miaka mitano (Bachelor degree in Theology).

Yani unatoka form six na one yako kali unaenda kukaa miaka mitano chuo kikuu kama unasomea udaktari. Ukimaliza unaitwa Mtheolojia. Kisha unaenda mwaka mmoja wa mazoezi (internship). Baadae unaweka nadhiri ya maisha ya kumtumikia Mungu. Kisha unabarikiwa (ordained) kuwa Mchungaji.

Kwahiyo popote unapomuona Mchungaji wa KKKT ujue amepitia njia hizo. Kumbuka wapo wachungaji wa zamani waliosoma Diploma kwa wanaphase out kulingana na taratibu za kila dayosisi.

RC

Kwa wenzetu wa RC ili uwe Padre, kwanza kabisa uwe na wito, pili usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 (hakuna Padre mwenye division 2). Ukimaliza uende malezi miaka miwili (Novisi). Huko unaweka nadhiri za muda (temporary vows) za kumtumikia Mungu.

Ukimaliza unaenda kusomea shahada ya kwanza ya Falsafa miaka minne (Bachelor degree in Philosophy). Ukimaliza hapo unakuwa Frateri. Unapewa muda wa kujitafakari kama bado una wito ama lah. Kama bado wito upo unaweka nadhiri za kudumu (perpetual vows).

Baada ya hapo unaenda tena kusoma miaka mitano shahada ya theolojia (Bachelor degree in Theology). Ukimaliza hapo unakuwa Shemasi. Kisha unaingia kwenye muda wa matazamio, then Kanisa likijiridhisha ndipo unapewa daraja takatifu la Upadre.

Ukishakuwa Padre Kanisa linaweza kukutuma kusomea taaluma nyingine ya kutimiza utume wako. So unaweza kutumwa IFM ukasomee Finance utumike kwenye benki za kanisa. Au ukatumwa UDSM kusomea Education utumike kwenye shule za kanisa, au ukaambiwa uende SAUT kusomea Mass Comm ili utumike kwenye media za kanisa.

Kwahiyo ukimuona Padre yeyote ujue ana degree 2 au zaidi. Na ujue form six alipata division 1, na baada ya form six alisoma miaka 9 hadi 12 kupata Upadre. Kwahiyo hakuna Padre mwenye elimu mbalimbali 😂. Ndio maana ukisikia TEC imetoa tamko usikurupuke kujibu. That is the Conclave of Intellectuals.

Picha haina uhusiano na maelezo.!
 
Ooooh kumbe!

This explains everything.

Thank you, sir!

Kuna tofauti yoyote unaiona kwa Waislam wengi hapa Bongo katika kuamiliana na watawala wakati wa sasa na wa Magufuli? Kuna tofauti yoyote umeiona?

Hata kwa Magufuli ilikuwa hivyo hivyo tu.

Mtawala anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa katika yasiyo maasi.

Licha ya udhaifu unaoweza kuuona kwetu Waislam ila Dini yetu Tukufu imetufundisha vizuri mno katika kila kitu ikiwemo namna ya kuamiliiana na watawala.
 
Kwanini sasa alitoa go ahead waueni shoot to kill? Acha unafiki na huku unasema hamfanyi unafiki unachokifanya hapo ni unafiki

Namaanisha kutumia upanga dhidi ya mtawala. Na nadhani hata wewe umeona madhara yake.
 
Namaanisha kutumia upanga dhidi ya mtawala. Na nadhani hata wewe umeona madhara yake.
Nimekuuliza kwanini alitoa go ahead shoot to kill? Jibu kwanza hilo kwamba hili kwenye uislamu inaruhusiwa kuwaua makafiri na wote wasio makafiri ila sio waislamu? Sema hivyo ingawa sitaki ifike huko au iwe hivyo ila wewe ndio unalazimisha na unapeleka huko maana yake unataka ifike huko si ndio?
 
Katika Uislam tunafundishwa kuwa matendo ya watu yanaoneshwa/yanadhihiri kupitia watawala wao.

Yaani inakuwa ni kama wanatazama kioo. Watu wakiwa wema na wachaMungu na watawala wao watakuwa wema na wachaMungu. Watu wakiwa ni watenda dhambi, madhalimu, waovu, matapeli, wezi na wahuni na tabia nyengine mbaya na maovu mengine basi watawala wao watakuwa kama wao.

Allah huwatawalisha madhalimu juu ya madhalimu wenzao na huwapa nguvu baadhi ya madhalimu juu ya madhalimu wengine kama Adhabu kwao kwa yale walioyatenda.

Madhalimu huoneshwa athari ya wanayoyafanya kupitia watawala wao. Na Waislam tunafundishwa Adhabu ya Allah haiondolewi kwa upanga bali kwa kujinyenyekeza kwa Allah na kushuka chini (kutokuwa na kibri) kutubu na kumuomba Allah Atusemehe na kukithirisha Dua na matendo mema.

Kutumia upanga dhidi ya mtawala hakutabadilisha kitu, bali hali itazidi kuwa mbaya. Na kheri zilizokuwepo zitaondoka au kupungua kuliko hapo awali. Hili limeshuhudiwa na linashuhudiwa.

Katika Uislam tunafundishwa watu wakitaka waondolewe watawala madhalimu, waache wao dhulma kwanza.

Na mafundisho ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) kwa Waislam ni kumtii mtawala (katika yale yasiyokuwa maasi) hata kama huyo mtawala ni muovu na dhalimu na anatunyima haki zetu. Tumeambiwa tumpe mtawala haki yake na akitunyima zetu tuzidai kwa Allah.

Kuna hikma kubwa katika hili, ukitizama kijuu juu kwa jazba unaweza usielewe ila kuna hikma kubwa. Kuwepo kwa mtawala hata kama ni dhalimu na muovu hilo ni bora zaidi kuliko anarchy na chaos na fitna. Ni lesser evil dhidi ya greater evil.

Tumekatazwa kumkosoa mtawala hadharani na tukafundishwa tukitaka kumnasihi mtawala tumnasihi kwa siri, kinyume na hapo tuwe na subra. Na tumekatazwa kufanya uasi dhidi ya mtawala Muislam na hata huyo mtawala asiye Muislam haifai kumtoa kama hamna nguvu ya kumtoa au hata kama nguvu mnayo ila kumtoa kutasababisha umwagaji wa damu na fitna.

Dhulma imepigwa vita sana katika Uislam, iwe ni dhulma ya mtawala au raia, imepigwa sana vita. Bali kuna Hadith kabisa za Mtume akikemea na kuonya watawala madhalimu. Ila pia Dini yetu imetuwekea taratibu za kuamiliana na mtawala.

Na Allah ni Mjuzi zaidi.
Quran inatuambiaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke. Kwa mujibu wa haya maelezo yako
 
Nimekuuliza kwanini alitoa go ahead shoot to kill? Jibu kwanza hilo kwamba hili kwenye uislamu inaruhusiwa kuwaua makafiri na wote wasio makafiri ila sio waislamu? Sema hivyo ingawa sitaki ifike huko au iwe hivyo ila wewe ndio unalazimisha na unapeleka huko maana yake unataka ifike huko si ndio?

Sipo hapa kwa ajili ya mdahalo. Tafuta wengine.
 
Back
Top Bottom