Msilaumu sana tofautisha kati ya PhD, MA/ Msc etc na Madrasa awards

Msilaumu sana tofautisha kati ya PhD, MA/ Msc etc na Madrasa awards

Sipo hapa kwa ajili ya mdahalo. Tafuta wengine.
Kwa hio umekubari kwamba haukua sahihi kwa ulichokianzisha kwa maana kinakurudia wewe mwenyewe au sio same mistake aliyoifanya yule unaemtetea na kusema kwamba alichofanya alikua yupo sahihi kuua si ndio?
 
Quran inatuambiaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke. Kwa mujibu wa haya maelezo yako

Unashangaa sisi Waislam kutawaliwa na mwanamke tena Muislam ila huulizi swali kwanini tulitawaliwa na wasio waislam na tukatulia!! Ushawahi kujiuliza hilo? Ushawahi kujiuliza nini hukmu ya Waislam kutawaliwa na wasio Waislam?
 
Quran inatuambiaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke. Kwa mujibu wa haya maelezo yako

Katika Uislam, katika hali ya ukhiyari anatangulizwa mwanaume juu ya mwanamke katika mambo ya Uongozi. Ila kama hatuna khiyari na mwanamke kapata nguvu juu yetu tutamsikiliza na kumtii.

Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah
 
Unashangaa sisi Waislam kutawaliwa na mwanamke tena Muislam ila huulizi swali kwanini tulitawaliwa na wasio waislam na tukatulia!! Ushawahi kujiuliza hilo? Ushawahi kujiuliza nini hukmu ya Waislam kutawaliwa na wasio Waislam?
Alipotoa go ahead ya shoot to kill na kisha watu wakaanza kuuwawa ulikua anajisikiaje ukiambiwa kwamba ndio anaua watu huko yaan ulikua na kafuraha fulani au kilikua kinakuuma kuona watu wanakufa?
 
Attachments

  • Screenshot_20251115_142907_Gallery.jpg
    Screenshot_20251115_142907_Gallery.jpg
    128.2 KB · Views: 16
Izi uweze kushusha nondo km Tec lzm elimu ya darasani iwepo kichwani yale hayafanywi na juzuuu 7 kichwani we mzeee
Acha usenge wewe,nani alikuaminisha kua PhD ndio kua na akili? Magufuli kwenye moja ya hotuba yake aliwahi kusema "Pale benki kuu kuna PhD 17 ila yanayofanyika ni ya ajabu" hao makafiri ndio wahusika wakuu wa mauaji ya kimbari Rwanda,nyie makafiri mna chuki za ******* sana,hakuna asiye jua yote haya mnayafanya kwa chuki ya udini.
 
Attachments

  • Screenshot_20251115_142907_Gallery.jpg
    Screenshot_20251115_142907_Gallery.jpg
    128.2 KB · Views: 13
Kuna tofauti yoyote unaiona kwa Waislam wengi hapa Bongo katika kuamiliana na watawala wakati wa sasa na wa Magufuli? Kuna tofauti yoyote umeiona?

Hata kwa Magufuli ilikuwa hivyo hivyo tu.

Mtawala anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa katika yasiyo maasi.

Licha ya udhaifu unaoweza kuuona kwetu Waislam ila Dini yetu Tukufu imetufundisha vizuri mno katika kila kitu ikiwemo namna ya kuamiliiana na watawala.
Wapo ambao wamekemea mauaji sio nyinyi ambao mnaungana na wauaji usifanye generalisations kwamba sisi sio wote wanaokubari yale mauaji ni wewe na mwenzio Shekhe Rusaganya
 
Vipi wewe Kanisa katoliki lilivyohusika na mauaji ya kimbari Rwanda,ulijisikiaje?
Rudia nilichokiandika kukisoma kwa umakini ndio uniquote usiniquote km hujasoma kwa kutulia maana nitakupa unachokitafuta na apart from that tunazungumzia Tanzania baki kwenye issue zetu za sasa usifukue issue zilizopita msitafute excuse wajinga nyinyi, mnafanya makosa halafu mnatafuta excuse za kiduwanzi stick to our current issues usituletee mambo ya 1980 huko sasa hivi tupo 2025 tuongelee hapo, huwezi pita hivi juzi Shekhe Majini kapigwa shaba hajafanya chochote ongelea hapo nitakusikiliza au niambie yule Shekhe alifanya nini mpaka apigwe shaba na kukatisha uhai wake?
 
Jibu swali nililokuuliza,acha kuweka maelezo marefu kama vile unajitongozesha,

Unasema utanipa ninachokitafuta? Haya rudi hapa nakusubiri kwa hamu kabisa ila usije ukakimbia tu.
 
Waislam conscious huwezi wakuta BAKWATA
Tupo BASUTA
salafi
na baadhi ya makundi
 
Elimu na ufahamu ni vitu viwili tofauti, Kuna PhD kibao lakini ni wapuuzi vilevile, wengine ni wanasheria kabisa kina tulia, kabudi, Kuna hadi maprofesa hii nchi wamefanya ushenzi master sio elim ya kuzungumza Kwa ulimwengu huu nimeisoma lakini naona hakuna kitu si ya ulaya au ya bongo Kama huna common sense ambayo anagawa Mungu pekee wewe ni useless person.
 
Mtume hajaagiza UPUMBAVU huo, hii ni mijitu minafiki inajipendekeza
Papa ndio aliagiza mashoga wakabarikiwe Vatican,na sasa hivi wameruhusiwa kwenda Hija Vatican.
 
Attachments

  • Screenshot_20251108_202844_Gallery.jpg
    Screenshot_20251108_202844_Gallery.jpg
    144.7 KB · Views: 16
Jibu swali nililokuuliza,acha kuweka maelezo marefu kama vile unajitongozesha,

Unasema utanipa ninachokitafuta? Haya rudi hapa nakusubiri kwa hamu kabisa ila usije ukakimbia tu.
Na wewe fanya nilichokwambia ufanye usinilazimishe nifanye unavyotaka wewe hutaki pita hivi sio lazima uniquote
 
Elimu na ufahamu ni vitu viwili tofauti, Kuna PhD kibao lakini ni wapuuzi vilevile, wengine ni wanasheria kabisa kina tulia, kabudi, Kuna hadi maprofesa hii nchi wamefanya ushenzi master sio elim ya kuzungumza Kwa ulimwengu huu nimeisoma lakini naona hakuna kitu si ya ulaya au ya bongo Kama huna common sense ambayo anagawa Mungu pekee wewe ni useless person.
Mkuu wewe ni muelewa sio huyu The Icebreaker amejawa na udini usiokua na maana
 
Mkuu wewe ni muelewa sio huyu The Icebreaker amejawa na udini usiokua na maana
Nyie makafiri ndio mna huu upumbavu wa chuki ya udini,viongozi wa kisiasa wenye hizo PhD kila siku mnawatukana,ila hizo PhD zikiwa kwa viongozi wenu makafiri mnaona ndio zipo sawa na mnawaona ni kama Malaika,

PhD haimfanyi mtu kua na akili kumzidi asiye na PhD,tatizo mnaongozwa na ushabiki wa kijinga na chuki dhidi ya uislamu,zile hela za Escrow zilipigwa na kina nani? Unajua hilo?
 
Back
Top Bottom