Sawa mkuu nimekupata ila hapo naona Chadema wakitulia vizuri pasipo paniki huyo DED atatoa fomu nyingine maana CHADEMA hakuna kosa lolote walilofanya ,DED ndio kafanya kosa kutoa form pasipo kuwa na umakini.
Well! but me na wewe hatuna ushahidi wowote kwamba hiyo form imetolewa au imefichwa so it's better keep waiting.Hakuna form imetoka pale bali yule mama mwenye roho mbaya katengeneza kisingizio feki cha kuwakomoa chadema
kwani fomu inakuwa Moja TU kwa kila chama??Mkurugenziccm hakutoa form kwa yeyote yule mama shetani ni muongo sana, katengeneza kisingizio feki hakuna form imetoka pale kwake kaamua kujipendekeza kwa mtukufu kwa njia haramu
Matatizo ya Saccos ya Chadema unayahamishia kwa Rais? Wewe hujitambui kabisa!!mie namshangaa Ngosha, kama hawezi siasa za ushindani anashindwa nn kufuta mfumo wa vyama vingi nchini? Mamlaka yote anayo sasa anakwama wapi??.
Alright my young daughter! actually till this time me and you (my young daughter) we know nothing about that form whether its hidden, taken by Ccm or chadema person.Too low. Hivi unafikiri ni lazima awe ametoka CDM. Open your mind young lady.
Kila chama kina mgombea mmoja tu hivyo hawawezi kupewa fomu zaidi ya mmoja! Kama Katibu wa Chadema alimtambulisha huyo mgombea basi imekula kwenu wanasaccos. Pia hiyo imetokea huko jimbo la Kilombero mpaka imebidi Saccos ya Chadema wamfukuze Katibu wao huko Kilombero. Sheria iko wazi kila Chama mgombea mmoja hivyo NEC itatoa Fomu moja tu kwa kila Mgombea wameambiwa wairudishe hiyo fomu ili wapewe nyingine.kwani fomu inakuwa Moja TU kwa kila chama??
Kama Ni kweli Basi Hawa ndo wanaomfanya MAGUFULI aonekane mbaya wakati kiuhalisia sio.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Maza kazingua... mbn hajataka kutoa barua ya chama kuthibitisha uyo mtu alochukua fom kapitishwa....Wapinzani ni vilaza sana, yani mother kawazidi hoja na akili... Yaani hata kama kuna ujanja chadema hawawezi kuukwepa hapo.
Yaani kama wanataka namba ya simu kwa msimamizi mbona hawakumuomba ya Boni
wakala wa shetani huyu
Tuambie wewe ametoka wapi? Kama ametambulishwa na Katibu wetu sasa unataka NEC wafanye nini sasa.Too low. Hivi unafikiri ni lazima awe ametoka CDM. Open your mind
Wanasaccos nyinyi uelewa wenu ni mdogo sana wa kila kitu! Ndiyo maana Faru John anawazungusha atakavyo.huyu hapaView attachment 1542567W
Amini usiamini hapa huyo mama siyo mjinga kuna Jambo hapo na sidhani me sidhani hata Kama ni ukandamizaji wa upinzani but it can't be like this! Chadema watakuwa wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.Maza kazingua... mbn hajataka kutoa barua ya chama kuthibitisha uyo mtu alochukua fom kapitishwa....
Ndo maana tunasema ss kuwachapa tu makofi ya kichwa kwa upuuzi km huu.
Barua ya utambulisho iko wapi ?Tuambie wewe ametoka wapi? Kama ametambulishwa na Katibu wetu sasa unataka NEC wafanye nini sasa.
humjui huyu mamaAmini usiamini hapa huyo mama siyo mjinga kuna Jambo hapo na sidhani me sidhani hata Kama ni ukandamizaji wa upinzani but it can't be like this! Chadema watakuwa wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.
Nadhani CHADEMA ndo wana matatizo katika uongozi wao hasa wa ngazi za chini. Kwa mfano, Meya wa Ubungo alivuliwa uanachama na katibu wa wilaya katika hali ya sintofahamu kama hii na suala lake mpaka leo halijawahi kushughulikiwa kisheria ili kubatilisha maamuzi yale. siyo ajabu akaja kuwekewa pingamizi huko mbeleni wakati wa uteuzi. Juzi anayejiita mgombea ubunge wa kilombero naye kavuliwa uanachama na katibu wa chama, baadae mwenyekiti wa kanda akaja kubatilisha yale maamuzi, mpaka sasa haijulikani aliyemvua uanachama na aliyebatilisha maamuzi yupi aliyetoa maamuzi ya halali. Sasa kwann hali hii ijitokeze kila mara? ina maana kuna ombwe la uongozi CHADEMA. Kwanni mamlaka zao zinachezewa hivi?Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.
Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?
Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?
Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote, Mkurugenzi anatengeneza tension isiyo ya lazima.
Kwann form iwe mojamoja? Kwan zinashushwa toka Mbinguni?
ipo NECBarua ya utambulisho iko wapi ?
yaani atoe fomu mbili za uteuzi kwa chama kimoja? Kwa sheria ipi hiyoHuyu mama mbona simwelewi. Sio mwanasheria Lakini kwa swala la muda angetoa Form and then huyo muhini akirudisha akamatwe.