Msimamo wa China kuhusu mgogoro wa Ukraine

NATO hata ingiza majeshi Ukraine, wanatoa training na kuwapa vifaa, UK ameshaanza.
Sizan Kama vifaa vinaweza kutumika bila uwepo wa majesh ya NATO......so naona Kama bado watahusika sana
 
Waendelee tu na Vurugu zao
ila Tanzania Hatusiki na Lolote
na Tunawachola tu atakaye Jaribu kuharibu ustawi wa Tanzania Hatutamfumbia macho
NB TANESCO WALISHA KATA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo mbeya tumeshinda gizani
 
Ulishaenda huko ukaiona tabia hiyo,au ndiyo swaga zetu wabongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Rejea matamshi ya DONALD TRUMP kuhusu suala la Obama care........

Inshort aliipinga kwa kuwa alisema kuwa ina element za usocialist ........pia Alisema kila mtu apambane kivyake. (Kila mtu ashinde mech zake)
 
CHINA, IRAN na RUSSIA haziwezi kupishana hata siku moja
 
Ukitaka kujua bifu ya Chinese na USA tazama haya majibu yao kwa USA. [emoji23][emoji23]
 
Waendelee tu na Vurugu zao
ila Tanzania Hatusiki na Lolote
na Tunawachola tu atakaye Jaribu kuharibu ustawi wa Tanzania Hatutamfumbia macho
NB TANESCO WALISHA KATA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wakichapana hao au kupigana sanction Tz na nchi nyingine za Africa tutaishi Kama mang'ombe hiyo Ni Vita ya tembo ziumiazo Ni nyasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…