Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli...but huwa tunaamin kuwa mtu anayekubalika na western ....huwa hafai ....rejea kwa TUndu lisu...,. Wabongo walikuwa wanamsema ni kibarakaAkiungwa mkono na mataifa ya nje sio shida.
Demokrasia haikomei katika uchaguzi wa kiongozi wa nchi pekee, bali inakwenda mpaka katika mfumo wa utawala na taasisi zake. Kuna bunge, upinzani, mahakama, vyombo vya habari ambavyo ni huru n.k. Rais asipowafaa wananchi, anaondolewa madarakani kupitia bunge lenye wawakilishi wa wananchi au uchaguzi mkuu.
Sina chakupoteza me mwenyewe natafuta hela ya kula tu kila siku ..kazi kwao watu wa uchumi wa KatiUmejiandaa kufa njaa?[emoji23][emoji23]
Kim jong un........Alisema anakombora ambazo zinaweza kuichemsha bahari.....so itakaukaSina chakupoteza me mwenyewe natafuta hela ya kula tu kila siku ..kazi kwao watu wa uchumi wa Kati
...miembe yote kijijini na bahari haikauki
kama demoghasia yenyewe ndio hii inayowaadhibu kina edward snowden na julian assange bora kusiwe na hata chembe ya hio mnayoiita demoghasia maana haijawahi kufaulu popote pale....Huelewi maana ya demokrasi. Na vile vile hujui maisha ndani ya Urusi na Uchina, unaangalia yale mapambo ya nje tu.
kwa 99% mtu anaekubalika na hao wapuuzi hua hafai na nikibaraka kweli kama sio kibaraka lazima yatakukuta ya hugo chavez ya maduro ya IRAN nkNi kweli...but huwa tunaamin kuwa mtu anayekubalika na western ....huwa hafai ....rejea kwa TUndu lisu...,. Wabongo walikuwa wanamsema ni kibaraka
Yaaaah mkuu......umeeleweka Sana .......coz hata Mambo ya ushoga ni aina ya democracy......let live people as they wishunaweza ukawa upo sahihi kua sielewi maana ya demoghasia ila wewe unaweza ukawa huelewi zaidi yangu lolote kuhusu demoghasi
pia inawezekana nikawa siyajui maisha ya UCHINA na URUSI ila wewe ukawa huyajui zaidi na hutayaju mpaka unakufa ama utayajua ama unayajua ila unajitoa ufahamukama demoghasia yenyewe ndio hii inayowaadhibu kina edward snowden na julian assange bora kusiwe na hata chembe ya hio mnayoiita demoghasia maana haijawahi kufaulu popote pale
kama kuyajua maisha yakimaghribi ndio haya ya unafiq nakutumia demoghasia kudhalilisha kunyanyasa watu ulimwenguni bora nidiyaju daima
mfumo wakidemoghasia ni failure system inatakiwa upigwe vita kwanguvu zote am ufanyiwe marekebisho makubwa sana haufai hata kuongozea mtaa sio nchi