Msimamo wa China kuhusu mgogoro wa Ukraine

Mbona marekani Kuna ma- homeless [emoji16]
Unafikiri kwann ..... Democratic chin ya Obama walikuja na bima ya Obama Care kwa watu masikin pale USA
 
Ni muhimu wakati wowote ule , balance of power inapokosekana anaye hold power huwa ana watafuna wenzie Kama vile Simba wa mwituni
Yaaah mkuu.....dunia inakuwa haina challenge......sometime inabidi kuwe na tesion kdg[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wakichapana hao au kupigana sanction Tz na nchi nyingine za Africa tutaishi Kama mang'ombe hiyo Ni Vita ya tembo ziumiazo Ni nyasi
Hapana mkuu.......Vita ya panzi furaha ya kunguru. ....wakipigana uchumi wao utakufa ......then TANZANIA TUTABAKI KUWA SUPER POWER
 
Mchina naye yupo kwenyr game anamuunga Urusu, huku akijua adui yao ni mkoja anayewasumbua ,anaisumbua china kupitia Taiwan ,...sasa wazee wa vitu vya S-400,s-600 ngoja wayajenge tupate pambano kali kabisa natamani na Iran naye angeingia plus kim basi ngoma ingekuwa tamu
 
Russia, china, north korea, iran, venezuela, cuba, soza africa, syria, nikaragua, beralus, Tajikstan, uzbekstan, Chechnya
 
Russia, china, north korea, iran, venezuela, cuba, soza africa, syria, nikaragua, beralus, Tajikstan, uzbekstan, Chechnya
Ukiondoa Russia na China Hizo zingine naone ni SHITHOLES TU Kama huku Afrika. Ukitokea mtifuano Kati ya WEST na Hao uliowataja sioni taifa litakalipigana hapo zaidi ya China na Urusi TU. Tena usishangae wengine Kama Iran,Syria na Beralus wakijitenga na huo mtifuano.
 
Mkuu .....kwan China Wana miliki mifumo gan ya ulinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…