OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga hatina timu ya kwenda robo fainali broView attachment 3176933
Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia inataka kuingia robo. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine
Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake
Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito sana. Kuna vifungu vya kwenye biblia au msaafu inabidi vitumike kuipeleka Yanga robo
Mnatanguliza matunguli halafu mwisho mnataka Mungu awasaidieView attachment 3176933
Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia inataka kuingia robo. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine
Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake
Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito sana. Kuna vifungu vya kwenye biblia au msaafu inabidi vitumike kuipeleka Yanga robo
View attachment 3176933

Sema nini? Simuoni wa kutoa huo unabii huko YangaEzekieli 37:1-15 BHN
BHNSUVNenoSRUV
Mimi Ezekieli nilikumbwa na uzito wa nguvu ya Mwenyezi-Mungu, naye akaninyanyua kwa roho yake na kuniweka katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Basi, akanitembeza kila mahali bondeni humo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde lile, nayo ilikuwa mikavu kabisa. Mwenyezi-Mungu akaniuliza, “Wewe mtu! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Nami nikamjibu, “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, wewe wajua!” Naye akaniambia, “Toa unabii juu ya mifupa hii. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu. Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.” Basi, nikatoa unabii kama nilivyoamriwa. Nilipokuwa nikitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai. Hapo, Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Ewe mtu, kwa niaba yangu toa unabii kwa upepo, ukauambie kwamba Bwana Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Ewe upepo njoo toka pande zote nne na kuipuliza miili hii iliyokufa ili ipate kuishi.” Basi, mimi nikatoa unabii kama alivyoniamuru, nayo pumzi ikaingia ndani yao, nayo ikawa hai, ikasimama: Kundi kubwa ajabu. Hapo Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Wewe mtu! Mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wao, wanasema, ‘Mifupa yetu imenyauka, matumaini yetu yamepotea nasi tumekwisha kabisa.’ Kwa hiyo, toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nimesema, nami nitafanya hayo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia
BHN: Biblia Habari Njema
Ayu 19:26-27 SUVView attachment 3176933
Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia inataka kuingia robo. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine
Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake
Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito sana. Kuna vifungu vya kwenye biblia au msaafu inabidi vitumike kuipeleka Yanga robo
Kwenye faili aione Mtumishi mwana Yanga CarleenEzekieli 37:1-15 BHN

Haya matokeo yanatoa tumaini kwa Yanga. !
Akishinda mechi zake zilizobaki guarantee anakwenda!
Al hilal ameshindikana!
Hata msimu uliopita mambo yalikuwa hivi hivi na mliongea hivi hiviView attachment 3176933
Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia inataka kuingia robo. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine
Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake
Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito sana. Kuna vifungu vya kwenye biblia au msaafu inabidi vitumike kuipeleka Yanga robo
Huo msimu ukishapita, there's no future in the pastHata msimu uliopita mambo yalikuwa hivi hivi na mliongea hivi hivi
Yote hayo alaumiwe Tabora United nyukiTimu ipo shirikisho akili zipo champions League
Huyu ndio nabii wanayemtumia kwa sasa baada ya kuachana na Mashimo. Huyu atawasaidia sana maana nabii zake nyingi kuhusu soka hutimiaSema nini? Simuoni wa kutoa huo unabii huko Yanga