Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Utopolo 🐸 🐸 🐸 pambaneni nafasi ipoView attachment 3176933
Msimamo upo taiti sana kwa Yanga, msimamo unamaanisha kwamba kuna timu ina point moja tu ikishika mkia inataka kuingia robo. Yaani timu zingine pale juu ziwe zinaitazama tu ikiingia robo, just imagine
Sio kwamba haiwezekani. Mungu ana miujiza yake
Kwa hiyo ina hitaji maombi mazito sana. Kuna vifungu vya kwenye biblia au msaafu inabidi vitumike kuipeleka Yanga robo