Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Mkuu, huyu nabii atawasaidia sana maana ni mshabiki kindakindaki wa Yanga na anafanya kwa kujitolea tu, Mashimo dau lake ni kubwa ndio maana wamemtosaHahahaha Niko ibadani lakini nimecheka kama mazuri vile.