Msimamo wa Kundi A: Mstari gani kwenye biblia unaweza kuipeleka Yanga robo fainali?

Twende na hii tenzi ya rohoni,ukiwa unaenda au kutoka kanisani!!!

"Teeenda muujiza,teeenda muuujizaaaaa!.Usiache Bwana,mwaka huu upite bila kutenda muujiza"
 
Bila kufukuzwa kocha yule mtajichosha tu,Sare ya Jana hata wachezaji walishangaa.Imagine Mmefungwa wachezaji wanacheza wanatembea uwanjani bila kashikashii,kocha nisawa na mwl wa certificate kufundisha Hesabu Form 6
 
Hivi, umeshawahi kusikia au kuona wapi farasi kajikwaa halafu mpanda farasi kaanguka?
 
Pamoja na maombi, kwenye dirisha dogo la usjili wafanye umakini wa usajili wa washambuliaji na viongo wakabaji

If you ask God to forgive your sins, God forgives all sins, but also do not remember your sins any more

Ukimuomba Mungu akusamehe dhambi zako, Mungu husamehe dhambi zote lakini na wewe usizikumbuke tena dhambi ulizo omba usamehewe
 
Mwakarobo fc msichangie mkae mbali.
 
Wala hakuna miujiza, ni kushinda tu mechi zilizobaki
 
Haya matokeo yanatoa tumaini kwa Yanga. !

Akishinda mechi zake zilizobaki guarantee anakwenda!

Al hilal ameshindikana!
Huu ndio ujinga wenu

Yani mechi zenu mnazicheza midomoni na zote mnashinda halafu za wenzenu mnawafungisha.

Achilia mbali mwenye pointi 2 eti mwenye pointi 1 anajipa matumaini zaidi kuliko mwenye 4.

Huu ni ujinga
 
Yanga ataenda robo fainali kama dirisha dogo la usajili atalitumia vizuri, mfano sioni haja ya kuwa na strikers 3 wa kigeni wakati timu ina mapungufu sehem nyingine,
una Mzize anayecheza aina moja ya uchezaji na Musonda, Toa Msonda na Baleke, muache Dube na yule mganda then sajili kiungo wa maana, viungo type ya Mudathir hawakufikisha robo fainali sababu consistence!
 
Hivi katika misimamo ya makundi yote ya cc kuna timu yoyote yenye pointi 1 au chini ya hapo? Nauliza tu.
 
Yanga ataenda robo fainali kama dirisha dogo la usajili atalitumia vizuri
Dirisha dogo kwa Yanga anatakiwa kuwatumia robo fainali kama itatokea miujiza akipenya
Mkeka uliotandika wote ni useless
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakika Bwana wa majeshi atatufuta machozi yetu, Amina..!!

Nakusalimu katika jina lipitalo majina yote Mtumishi wa Bwana, Determinantor
AMEN πŸ™! Nashukuru sana Simba wanaendelea kuwakilisha Nchi vyema, Yanga waendelee na mechi za mchangani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…