changamoto ni siasa kuvamiwa na vibwengo 🐒Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi na kuzuia Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kesi hiyo, inayoendelea kwa muda mrefu, imeingia hatua ya utetezi baada ya mahakama kumpata na kesi ya kujibu.
(Theeastafrican)
Hivi karibuni, wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo, Lissu alitajwa kunukuliwa mahakamani akiuliza kuhusu “rambirambi” (salamu za pole). Alimuuliza Makamu Mwenyekiti John Heche kama amepeleka salamu zake za rambirambi, katika muktadha uliohusishwa na msiba wa mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir. Kauli hiyo imechochea majadiliano makali mitandaoni.
Godbless Lema, mwanachama mashuhuri wa CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu, alitajwa kushambuliwa mitandaoni baada ya kutoa au kuunga mkono rambirambi hizo hadharani. Wengine walimlaumu kwa kutoa salamu za pole kwa viongozi wa serikali wakati chama kinakabiliwa na changamoto kubwa, ikiwemo kesi ya mwenyekiti wake. Hii imeleta mjadala wa ndani juu ya msimamo wa chama na mahusiano yake na serikali.
Msimamo wa Lissu wa “No Reforms, No Election” na kauli zake kali zimekuwa zikijadiliwa kama zinaweza kuchochea tofauti za maoni ndani ya CHADEMA, hasa kati ya wale wanaotaka msimamo mgumu na wale wanaotetea mbinu za kujenga uhusiano au kutoa salamu za kibinadamu.
Swali linabaki: Je, wananchi waliopoteza wapendwa wao katika matukio ya Oktoba 29, 2025 (ambapo tume ya uchunguzi iliripoti vifo 518) nao walipewa rambirambi za wazi, au tusubiri tume na hatua rasmi?
Kipi kitazuia yote hayo yasifanyike dhidi ya CHADEMA? Au mambo gani CHADEMA wayafanye ili yote hayo mawili yasiwakumbe? Na hadi sasa kipi kinasubiriwa ili yatokee.CHADEMA
wanapaswa kuchagua kati mawili
1)
kufungwa maisha yote
kwa TUNDU LISSU ❗️
2)
kifutwe chama cha CHADEMA maisha yote ❗️
in fact ni suala la muda tu, ratiba na taratibu za kisheria kukamilika 🐒Kipi kitazuia yote hayo yasifanyike dhidi ya CHADEMA? Au mambo gani CHADEMA wayafanye ili yote hayo mawili yasiwakumbe? Na hadi sasa kipi kinasubiriwa ili yatokee.
Shida iko wapi? Na vipi hizo rambirambi zikawa ni za kinafiki? Acheni kumaind vitu vidogo ndugu zangu. Maisha hayaendi hivyo.Wewe unaunga mkono RAMBIRAMBI Kwa wafiwa??
KIbwengo ni mme wako.changamoto ni siasa kuvamiwa na vibwengo 🐒
Kiukweli sijawahi kumuona buku 7 mchovu kichwani kama wewechangamoto ni siasa kuvamiwa na vibwengo 🐒
huenda ukawa ni miongoni mwa vibwengo wenyewe hao waliovamia siasa gentleman 🐒Kiukweli sijawahi kumuona buku 7 mchovu kichwani kama wewe
Wewe unaunga mkono RAMBIRAMBI Kwa wafiwa??
Dada upo kwenye usingiz mzito amka usipoangalia utajikojolea hapo usingizinCHADEMA
wanapaswa kuchagua kati mawili
1)
kufungwa maisha yote
kwa TUNDU LISSU ❗️
2)
kifutwe chama cha CHADEMA maisha yote ❗️
Tuwaulize Chadema kama walitoa pole na rambirambi za wazi.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi na kuzuia Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kesi hiyo, inayoendelea kwa muda mrefu, imeingia hatua ya utetezi baada ya mahakama kumpata na kesi ya kujibu.
(Theeastafrican)
Hivi karibuni, wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo, Lissu alitajwa kunukuliwa mahakamani akiuliza kuhusu “rambirambi” (salamu za pole). Alimuuliza Makamu Mwenyekiti John Heche kama amepeleka salamu zake za rambirambi, katika muktadha uliohusishwa na msiba wa mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir. Kauli hiyo imechochea majadiliano makali mitandaoni.
Godbless Lema, mwanachama mashuhuri wa CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu, alitajwa kushambuliwa mitandaoni baada ya kutoa au kuunga mkono rambirambi hizo hadharani. Wengine walimlaumu kwa kutoa salamu za pole kwa viongozi wa serikali wakati chama kinakabiliwa na changamoto kubwa, ikiwemo kesi ya mwenyekiti wake. Hii imeleta mjadala wa ndani juu ya msimamo wa chama na mahusiano yake na serikali.
Msimamo wa Lissu wa “No Reforms, No Election” na kauli zake kali zimekuwa zikijadiliwa kama zinaweza kuchochea tofauti za maoni ndani ya CHADEMA, hasa kati ya wale wanaotaka msimamo mgumu na wale wanaotetea mbinu za kujenga uhusiano au kutoa salamu za kibinadamu.
Swali linabaki: Je, wananchi waliopoteza wapendwa wao katika matukio ya Oktoba 29, 2025 (ambapo tume ya uchunguzi iliripoti vifo 518) nao walipewa rambirambi za wazi, au tusubiri tume na hatua rasmi?
Peleka Salamu Kizimkazi acha maneno mengi yasiyo na tijaMnajitahidi sana kutafuta migogoro ya kuisambaratisha CHADEMA.
Mnayafanya maisha kuwa magumu sanaKitu ambac
Makamu Heche alivyofiwa na dereva wake je alipata rambirambi kutoka upande wa pili??
Sema rambi rambi kwa muuajiWewe unaunga mkono RAMBIRAMBI Kwa wafiwa??