Hata Mimi sijui maana wale si walikuwa haters kama nyie? So waulizwe wao.Vipi Balozi Nchimbi na Balozi Polepole kwanini hawajaenda kizimkazi kutoa pole?
Mkuu hivi hizo buku7 huwa mnapewa kila siki au kila baada ya week au mnalipwaje? Na madai kuwa mmepandishiwa kidogo je kweli au shutuma tu?huenda ukawa ni miongoni mwa vibwengo wenyewe hao waliovamia siasa gentleman 🐒
Kila baada ya wikiMkuu hivi hizo buku7 huwa mnapewa kila siki au kila baada ya week au mnalipwaje? Na madai kuwa mmepandishiwa kidogo je kweli au shutuma tu?
Kifo ni kifo tu acha kuleta taharuki chawa!Peleka Salamu Kizimkazi acha maneno mengi yasiyo na tija
katika siasa vibwengo hujitambulisha wenyewe tu gentleman 🐒Mkuu hivi hizo buku7 huwa mnapewa kila siki au kila baada ya week au mnalipwaje? Na madai kuwa mmepandishiwa kidogo je kweli au shutuma tu?
Mbona umejibu tofauti na nilivyokuuliza? Kama hukutaka kujibu ungesema tukatika siasa vibwengo hujitambulisha wenyewe tu gentleman 🐒
kibwengo na siasa haviskizani gentlemanMbona umejibu tofauti na nilivyokuuliza? Kama hukutaka kujibu ungesema tu

Hata Mimi sijui maana wale si walikuwa haters kama nyie? So waulizwe wao.
Pili huyo Balozi mwingine si kafukuzwa chama ataendaje alikotimuliwa?
Nakuelewa mkuu, hutaki wengine pia tupate hizo buku7,unataka mbaki wenyewe ndiyo maana kilq nikikuuliza kuhusu hizo buku7 unajibu mambo ya sijui vibwengo.kibwengo na siasa haviskizani gentleman![]()