Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hivi unadhani kwann Mangungu anabaki madarakani ? Ni kwa aina hii ya wanachama ya muhasibu ndio tatizo pale simbaNinanunua post na like au reaction yeyote ya Mwasibu alijitokeza humu na malipo nitayafanya kupitia CRDB bank