Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwa mtu anayejuwa Mpira vizuri hapo Azam hamna kitu anagombea nafasi ya Pili, na Simba haina uwezo wa kuja kuifikia Yanga.View attachment 2928613
🤸‍♀️💚💛
Hii ligi imeshaisha Simba uanze sasa kutafuta wachezaji wa kusajili na kazi hiyo afanye Mwamedi mwenyewe, akiwaachia wazee wa ten percent mashabiki wa Simba wataendelea kutokuwa na furaha Kwa kipindi kirefu kijacho.