Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Mwasibu mkuu Mgunda and Sons Company Ltd
Screenshot_20240430-204351~2.png
 
Mimi ninaona kuna uwezekano mkubwa wa kuikosa hata hiyo nafasi yenyewe ya pili msimu huu! Maana ana mechi ya kipolo na Azam. Na hata akishinda michezo yake miwili, bado atakuwa nyuma kwa point 1!
Kwa kasi ambayo Azam anahitaji hiyo nafasi ya pili, kwa mpira ambao Simba inaenda nao kwa sasa, sioni pia Simba kushika nafasi ya pili.
 
Back
Top Bottom