Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

I mean no malice to Mhasibu , sina bifu wala kinyongo nae ni kama kuchamsha genge .

Nina enjoy utani ni enjoy ukorofi , baade Kuna mwengine nauzindua Leo TBT .
Hakika na kuna mitaa tukikutana naye Mwasibu tunafurahi naye kama sio sisi tunaemkaliaga kooni huku. 🤣🤣
 
Huwa inaanzaga hivi ila huko mbeleni sasa. 🤣🤣

Saa hizi mwasibu na jopo lake wote wanatamani ligi iishie hapa. 🤪🤪
Screenshot_20240822_093309_Instagram.jpg
 
Profile lake kaficha , mtu huwezi kuona nyuzi za nyuma alizowahi kuanzisha ila watu tulitunza risiti kwa hiyo tunasearch nyuzi inajileta.
Ila humu ndani😂😂😂mnatunza adi Risiti🙌🙌🙌kwel wataalamu wa banter
 
Simba Sports Club
One Team, One Dream
NGUVU MOJA




Ipo Kileleni Mawinguni Juu Hapa Hapa
Tafadhali Baridi Ni Kutetemeka Sana
20241012_143143.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom