Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sio uongo eti. 😃Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio uongo eti. 😃Aisee
Ni kweli msimu huu mnyama anatengeneza timu hana shinda na ubingwa kikombe ni chenu hikiSio uongo eti. 😃
Vina muda basi. 😂😂😂Ni kweli msimu huu mnyama anatengeneza timu hana shinda na ubingwa kikombe ni chenu hiki
Tusameheni sana tumekaa kwenye nafasi yenu kwa muda mrefu 🤣
Kwa usaidizi wa sindano na makosa ya kibinadamu mtakaa kweliVina muda basi. 😂😂😂
Na siku mkiyakanyaga tukakaa pale juu ndio mtajua hamjui.
Hizi maneno huwa hazikwepeki Mtani 😃 sababu hamkutegemea nyie mlijua tutapotea mazima.Kwa usaidizi wa sindano na makosa ya kibinadamu mtakaa kweli
Bila chamazi kuanika kale ka clip na kukimbia chamazi tungeamini ni uwezo wenu 🤣Hizi maneno huwa hazikwepeki Mtani 😃 sababu hamkutegemea nyie mlijua tutapotea mazima.
Achana nao hao shemela.Hizi maneno huwa hazikwepeki Mtani 😃 sababu hamkutegemea nyie mlijua tutapotea mazima.
😀😃😃😃😃
MwasibuuuuuuuuuuYanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Ligi ikichezeshwa kwa haki Simba anashika nafasi ya tatu.