toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,309
- 2,577
Mkuu tunatunza hii kitu na itakuwa tanzi kwako na jiwe la kujikwaa.View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunatunza hii kitu na itakuwa tanzi kwako na jiwe la kujikwaa.View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Na mwisho wa msimu utakuja tena kuukimbia huu uzi kama ulivyofanya kwenye zile nyuzi zako 2! Ni suala tu la muda.View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Anakuja kuwafunga kwenye kundi lenu la CAF CL subiri uone leo,aaahaaaAmefunga goli ngapi huko? Arudi kununuliwa magoli
CPA la dunia, huu uzi utatufaa kwa baadae sana kama ule wa mayele na kibu, au wa Ariz ki..
Umenyong'onyea mzee.Mechi zimechezwa 4 pekee! Tayari mnashangilia kuongoza ligi! Kweli aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Mkuu maneno mengi ya nini? Timu yako ipo nafasi ganiCPA la dunia, huu uzi utatufaa kwa baadae sana kama ule wa mayele na kibu, au wa Ariz ki..
Mashabiki wa yanga[emoji23][emoji1544][emoji1550]Nzi waliovuta bangi.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Mleta uzi ligi iki isha leta uzi kama huu
Jamaa ajielewi kila nikikumbuka zile nyuzi zake mbili nabaki nacheka sana 🤣🤣Na mwisho wa msimu utakuja tena kuukimbia huu uzi kama ulivyofanya kwenye zile nyuzi zako 2! Ni suala tu la muda.
Kaka jana ulisema 4 mbona ziliishia 3🤣🤣
NYie jamaa mbona mnafurahisha sana. Kwani tayari ligi imeisha?😂Tuliwaambia ligi bado mbichi acheni mboyoyo,hawakusikia hoo mala tuna Gamondi yaoyao anamwaga maji kama mvua,,,kiko wapi😂😅
CPA Okw katika ubora wake akiwa hajanywa boha...View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Mwaka Jana pia ihefu alowasaidia Simba kujifariji?Hii imetokea ili iwasaidie mashabiki wa simba kujifariji kidogo, maana yanga ingeshinda na jana simba ikashinda bado wangepiga kelele timu yao haichezi vizuri[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app