Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Yanga match 3/4 kacheza na timu nane za juu, simba kacheza na timu nane za chini 4/4
uto kama uto, ihefu kabla ya mechi na Yanga alikuwa na point 3. Angalia timu zenye point 3 ziko nafasi 13, hivyo baada ya kuwapakata utopolo ihefu imefikisha point 6. Nafasi ya 7
 
Wewe ni JF comedian, hebu tupe msimamo wa ligi nani anaongoza ligi?

Huu ni ujinga, round ya Pili ndio msema kweli siyo hizi mechi 4 unawehuka.
Wewe ni mpuuzi tu huna cha kunisumbua. Shida ni nini hapo. Nimeweka msimamo nikauliza timu yako ipo wapi? Huelewi nini hapo.
 
Mpira ni mchezo tu. Nothing serious jamani msituseme wana Yanga. Kufungwa ni moja kati ya matokeo matatu ya mchezo wa mpira wa miguu
 
Back
Top Bottom