Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Vipi kipchonge? Vipi kwasasa unaamini maneno ya Ally Kamwe kuwa ligi ni marathon au bado?
Huyo ali sasahivi ukimuuliza hakwambii ligi ni marathon bali mafuta na maji yanajitenga
 
Huyu kijana nadhani aache tu kushabikia mpira maana siku zote ana bahati mbaya tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji870]
Sio bahati mbaya,

Hana akijuacho kwenye mpira mwambie ukweli tu, kwani atakupiga[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…