Msimamo wa nchi za Afrika juu ya suala la Urusi na Ukraine ni jambo dogo sana linalopaswa kuongozwa na kanuni, sio maslahi ya nchi zetu

Ndugu kabla ya hiyo Operation Zelenskky kaitwa wazungumze kashupaza shingo, anafanya makosa ya wazi wazi na kama Mrusi asingemuwahi 24/02 mambo yangekua tofauti
Amini nakwambia Putin ni raisi mzuri, mwenye moyo safi ila Zelenskky na hao mshirika wake hasa USA wanaisogeza hii operation mbele zaidi.
Kaka hukatazwi kumkanya mdogo wako akishupaza shingo.
Wewe unamfahamu Putin kuwazidi Warusi wenyewe? Waulize watu wanaoenda Russia mara kwa mara wakubie utawala wa Putin ni wa namna gani.

Udikteta wa Putin, hakuna hata mtawala mmoja wa Afrika anayeufikia. Huwezi kumkosoa Putin halafu kesho ukawa mtaani unarandaranda. Utakuwa na bahati ukiwa gerezani, lakini mara nyingi hitaonekana milele.

Anatumia hela ya Serikali kama yake binafsi. Watu wa karibu naye, mpaka binti yake, ni miongoni mwa mabilionea wa Russia. Na ole uhoji.
 
Kwa hiyo Misnky Agreement sijui inasema Zelensky akikiuka makubaliano Urusi ina haki ya kuvamia Ukraine na kuchukua sehemu za Ukraine, sivyo?
Unafanya argument na mtu ambaye haelewi hata hoja inayoongelewa.

Umenena vema sana, kila mwenye akili amekuelewa.

Kanuni zinasemaje kuhusu mipaka ya nchi. Hapa Tanzania kuna mkataba ulisainiwa kati ya Tanganyika na Misri juu ya matumizi ya maji ya Ziwa Victoria. Sisi tuliamua kwa makusudi kukiuka kwa sababu tuliona siyo sawa. Kwa hiyo baada ya sisi kukiuka, Misri ituvamie na ichukue sehemu ya eneo la Ziwa Victoria? Nadhani ndugu yetu wailer hov angesema ni sawa kwa vile Tanzania imekiuka makubaliano!!
 
Ghadafi kumwua kila aliyehoja matendo ya Serikali yake ilikuwa haki. Kuwakamata waliokuwa wanahoji utawala wake, kuwapeleka magerezani, halafu baadaye kwenda kuwakusanya na kuwazika kwenye makaburi ya pamoja, ilikuwa ni haki?

Baada ya kifo cha Gadafi, Walibya wamepitoa magumu mengi, lakini kwa nini ukienda Libya, pamoja na hayo magumu yote, hakuna anayemlilia Gadafi?

Kutofingamana na Upande wowote kumve wengi hamwelewi hata maana yake.

Kumbukeni wakati wa kipindi cha vita baridi, ukiwa katika kwenye block mojawapo ilikuwa huwezi kutoa msimamo wako pekee yako, ni lazima ufuate msimamo wa block. Nyerere alilikataa hilo alitaka asifungwe na block. Kama uovu umefanywa na block ya Magharibi, awe huru kuusema. Halikadhalika kama umefanywa na Mashariki, auseme pia. Hakumaanisha kutofungamana na upabde wowote, kati ya ukweli na unafiki, kama tunavyofanya sasa.
Je, kitendo Cha Gadaffi kufanya hivyo ndo kiliwapa kibali NATO kuivamia Libya? Na hiyo ndo haki ambayo unataka kuisema hapa?
 
Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika.

Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia principles, sio urafiki au maslahi ya Tanzania

NInaamini kwa dhati katika hili Nyerere angemlaani Putin katika suala la hii vita. Alishasema, kwamba hii mipaka ya nchi zetu, japokuwa mara nyingine hatuipendi, lakini hatutalazimisha ibadilishwe. Kuwekwa kwake kwa sasa ni jambo la kihistoria na acha ibaki hivyo kwa ajili ya amani na ujirani mwema, japo labda hatuipendi.

Kwa hivyo basi, katika suala la vita kati ya Urusi na Ukraine, madai ya Putin kwamba Ukraine inawaonea watu wenye asili ya Urusi ndani ya Ukraine kwa hiyo wanavamia Ukraine kuwakomboa watu wenye asili ya Urusi, ni ujinga uliopita kikomo na usiopaswa kukubalika na kiongozi yeyeote mwenye akili timamu. Ni sawa na sisi Tanzania, leo hii tuwaambie Wakenya kwamba maeneo ya Kajiado wanayoishi Masai wa Kenya yako nyuma kimaendeleo kwa hiyo tutaingia Kenya kuchukua maeneo haya kwa kuwa Wamasai wa huko ni sehemu ya Wamasai wa Tanzania na wanapaswa kufikiriwa na kuendelezwa kama sehemu nyingine za Kenya, halafu tuivamie Kenya kijeshi. Unaona ujinga huo?

Sasa hapo ndipo Africa Union ilipaswa isimamie bila woga na kujali maslahi. Kina Malema kule South Africa wanasema tutam-support Putin na Warusi katika huu mgogoro kwa kuwa Urusi ilituunga mkono kwenye freedom strugle. Stupid stinking thinking! Kumbuka Nyerere alichosema pia, hatukuwaunga mkono ANC kwa sababu ni weusi kama sisi, bali kwa sababu walikuwa wanabaguliwa na hatupendi ubaguzi wa rangi kwa kuwa unakiuka haki za binadamu.

Sasa Nyerere alimaanisha nini? Kwamba itakuwa ujinga sana kwa Raisi wa Tanzania, siku ANC, chama cha weusi wengi kule South Africa, wakianza kunyanyasa wazungu na kuwabagua, Tanzania kuendelea kuwaunga mkono kwa sababu tu ANC ni chama cha weusi wenzetu. Ikiwa wazungu hao Afrika Kusini leo hii wakibaguliwa na haki zao za kibinadamu kukiukwa na ANC na watu weusi wa South Afrika, na wazungu hao wakaanzisha mapambano ya kujikomboa, itabidi Tanzania tuwa-support na kuwapa kambi zote hapa nchini zilizokuwa za ANC kuwa kambi zao za kupigania uaswa nchini Afrika Kusini.

Kumbuka pia, kwa nini Nyerere aliunga mkono Biafra kule Nigeria, japo tulikuwa marafiki wa serikali ya Nigeria? Kwa nini Nyerere alivunja uhusiano na Uingereza, Israel na Ujerumani wakati fulani licha ya misaada mikubwa tuliyokuwa tunapata toka kwao? NI suala la principles, sio maslahi ya nchi au urafiki. Haya ndio mambo yalifanya Nyerere aheshimike sana duniani. Rational and fairness principles.

Leo hii jirani yako anakupa lift kwenda kazini, siku akishutumiwa kuwafanyia unajisi watoto, utamtetea au kukaa kimya kwa sababu amekuwa akikupa msaada? Labda wewe kama una tatizo la mtindio wa ubongo.

Sasa hawa viongozi wetu hapa Afrika, kama wangejua jinsi ya kusimamia principles badala ya maslahi, hili suala la Urusi na Ukraine is a no brainer - wangetoa tamko la kumlaani Putin. Huwezi kusema mbona Marekani walivamia sijui Iraq, Libya nk. Utakuwa unatukumbusha tu jinsi usivyo na msimamo kwa sababu wakati Marekani wakivamia Iraq na Libya ulipaswa kulaani kwa nguvu zote pia. Na two wrongs do not make a right. So African leaders, stop your nonsensical approach to the Russia-Ukraine debacle. You are just proving what Trump is always accusing us of - something about shit hole countries!
Kwa tulipo fikia dunia ya leo hakuna taifa ambalo lina heshima principles hasa pale linapo kuja suala la maslahi (interest) hakuna hilo taifa kwa sasa.

Maslahi ya kitaifa ndio chanzo Cha migogoro mingi ya dunia kwa Sasa leo USA na washirika wake wanaichokonoa China kuhusu Taiwan je, umekuwa kuja na mada humu kuomba viongozi wa Afrika walaani kitendo hiki au unayaona ya Urusi na ukrein?
 
Kwanza, maamuzi, hasa ya kisiasa siyo rahisi kama tunavyofikiria. Mimi ninachojuwa maamuzi ya namna hiyo kuna wakati yanafuata principle kuna wakati hayafuati kabisa principle. Kwa maana nyingine tusikimbilie kuilaani Urussi kwa principle peke yake.

Ni kweli Urussi ni kama amevamia Ukraine, lakini kila mtu anajuwa kisa na chanzo cha hili. Wafuasi wa siasa za dunia wanajuwa wazi, baada ya kusambaratika Urrusi kulikuwa na makubaliano yenye nia ya kuhakikisha Urussi haizungukwi na NATO hii ikiwa na maana nchi yoyote inayoingia NATO/EU inahatarisha usalama wa Urussi. Sote tunajuwa bifu kati ya Magharibi na Urussi.
Msimamo wa TZ kuhusu hili mimi nauafiki. Huko nyuma msimamo huu ulikuwa wa nchi zisizofungamana na upande wowote (East or West).

Ningependa kukubali kufuata principle ni kitu kizuri, lakini usiwe wewe tu unakuwa principled wengine hawaishi hivyo. Nitoe mfano kwa nchi ya Marekani. Marekani wao hawako principled na hawafuati principle isipokuwa pale tu principles zinainufaisha. Marekani kila siku inapiga kelele juu ya haki za binadamu za nchi zingine, lakini wao hawajioni kama wakiukaji wa haki hizo nyumbani kwao na nje. Na kila mahali Marekani imejiwekea kinga. Kwa mfano Mmarekani, wanasiasa wao, askari wao hawawajibiki kwenye mahakama ya "The Hague", lakini wakati huohuo wanataka nchi zingine zote ziwajibike isipokuwa wao. Hasa hapo wanafuata principle gani.

Kila mara tunasikia kelele zao kuhusu ukiukwaji haki za binadamu kwa mataifa ya nje, kitu ambacho ni kizuri, lakini ingekuwa vizuri zaidi wawe principled, kwa maana nao wanapokuwa na matatizo kama hayo wawajibike. Chukuwa mfano wa Iraqi, Afghanistan, Palestine ambako kumekuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu nyingi, lakini askari wao wana kinga. Kilichotokea au kinachotokea Ukraine ni sawa na yale yaliyotokea Palestine, Lebanon, Vietnam, Korea, Iraqi, Afghanistan, na kwingineko ambako Marekani iliyenda kupigana na kukimbia kwa aibu maana hakuna sehemu yoyote waliposhinda, mara nyingi kwenda kwao huko kulizigawa nchi hizo kuwa nchi mbili au tatu bila ridhaa.

Mmarekani siku zote anaamini kwenye interest zake at the expense of interest za nchi nyingine. Kwao kama kitu kina maslahi kwao basi hapo hakuna cha principle. TZ nayo inatakiwa iangalie ni wapi kuna faida kwetu sisi kama TZ, siyo kufuata principle kama vipofu. Hata kuendesha na kuisimamia familia yako, panapokuwa na tatizo siku zingine unatakiwa kwenda nje ya box, na hapo ndiyo unaweka principle pembeni na kuangalia kipi chenye maslahi kwa familia.

Maisha yetu binadamu tunakumbwa na kitu kama "kuchukuwa maamuzi magumu" na wakati mwingine maamuzi magumu ni pamoja na maamuzi yanayokinzana na convetional wisdom au principle. Najuwa wengi wetu humu JF tuna dini tunazofuata, uwe wislamu, mkristo, dini asilia, n.k. tuna misingi inayotukataza ushirikini na kuamini na kutumia njia au nguvu za giza. Ukweli ni kuwa hata hao staunch muslims, christians, born again kuna wakati wnapata shida au matatizo wanamuomba Mungu lakini hawapati majibu wanayotegemea. Ikifikia hapo wengi hukimbilia nguvu za giza kuona kama huko itawezekana! Wakristo, Waislamu, na walokole wangapi walikwenda kunywa kikombe cha babu Loliondo. Kwani hawa hawakuwa principled Christians/ Muslims. Mpaka rais wetu alienda kupata kikombe cha babu.

Kwa kifupi, binadamu hawezi kuishi na kutenda kwa principle peke yake. Principles zipo kufuatwa lakini siyo kuzifuata blindly. Msimamo wetu kuhusu Ukraine ni vizuri usifungamane na upande wowote. Kwanza hao Ukraine ni wabaguzi na vita ilipoanza wanafunzi wa Kitanzania walipata shida saana, sioni kwa nini tuwapige tafu. Hata Yesu alitumwa kutuokoa, lakini mateso yalimzidi akasahau kilichomleta duniani na kumuomba Mungu Baba ikiwezekana kikombe (mateso) kimpite.
 
Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika.

Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia principles, sio urafiki au maslahi ya Tanzania

NInaamini kwa dhati katika hili Nyerere angemlaani Putin katika suala la hii vita. Alishasema, kwamba hii mipaka ya nchi zetu, japokuwa mara nyingine hatuipendi, lakini hatutalazimisha ibadilishwe. Kuwekwa kwake kwa sasa ni jambo la kihistoria na acha ibaki hivyo kwa ajili ya amani na ujirani mwema, japo labda hatuipendi.

Kwa hivyo basi, katika suala la vita kati ya Urusi na Ukraine, madai ya Putin kwamba Ukraine inawaonea watu wenye asili ya Urusi ndani ya Ukraine kwa hiyo wanavamia Ukraine kuwakomboa watu wenye asili ya Urusi, ni ujinga uliopita kikomo na usiopaswa kukubalika na kiongozi yeyeote mwenye akili timamu. Ni sawa na sisi Tanzania, leo hii tuwaambie Wakenya kwamba maeneo ya Kajiado wanayoishi Masai wa Kenya yako nyuma kimaendeleo kwa hiyo tutaingia Kenya kuchukua maeneo haya kwa kuwa Wamasai wa huko ni sehemu ya Wamasai wa Tanzania na wanapaswa kufikiriwa na kuendelezwa kama sehemu nyingine za Kenya, halafu tuivamie Kenya kijeshi. Unaona ujinga huo?

Sasa hapo ndipo Africa Union ilipaswa isimamie bila woga na kujali maslahi. Kina Malema kule South Africa wanasema tutam-support Putin na Warusi katika huu mgogoro kwa kuwa Urusi ilituunga mkono kwenye freedom strugle. Stupid stinking thinking! Kumbuka Nyerere alichosema pia, hatukuwaunga mkono ANC kwa sababu ni weusi kama sisi, bali kwa sababu walikuwa wanabaguliwa na hatupendi ubaguzi wa rangi kwa kuwa unakiuka haki za binadamu.

Sasa Nyerere alimaanisha nini? Kwamba itakuwa ujinga sana kwa Raisi wa Tanzania, siku ANC, chama cha weusi wengi kule South Africa, wakianza kunyanyasa wazungu na kuwabagua, Tanzania kuendelea kuwaunga mkono kwa sababu tu ANC ni chama cha weusi wenzetu. Ikiwa wazungu hao Afrika Kusini leo hii wakibaguliwa na haki zao za kibinadamu kukiukwa na ANC na watu weusi wa South Afrika, na wazungu hao wakaanzisha mapambano ya kujikomboa, itabidi Tanzania tuwa-support na kuwapa kambi zote hapa nchini zilizokuwa za ANC kuwa kambi zao za kupigania uaswa nchini Afrika Kusini.

Kumbuka pia, kwa nini Nyerere aliunga mkono Biafra kule Nigeria, japo tulikuwa marafiki wa serikali ya Nigeria? Kwa nini Nyerere alivunja uhusiano na Uingereza, Israel na Ujerumani wakati fulani licha ya misaada mikubwa tuliyokuwa tunapata toka kwao? NI suala la principles, sio maslahi ya nchi au urafiki. Haya ndio mambo yalifanya Nyerere aheshimike sana duniani. Rational and fairness principles.

Leo hii jirani yako anakupa lift kwenda kazini, siku akishutumiwa kuwafanyia unajisi watoto, utamtetea au kukaa kimya kwa sababu amekuwa akikupa msaada? Labda wewe kama una tatizo la mtindio wa ubongo.

Sasa hawa viongozi wetu hapa Afrika, kama wangejua jinsi ya kusimamia principles badala ya maslahi, hili suala la Urusi na Ukraine is a no brainer - wangetoa tamko la kumlaani Putin. Huwezi kusema mbona Marekani walivamia sijui Iraq, Libya nk. Utakuwa unatukumbusha tu jinsi usivyo na msimamo kwa sababu wakati Marekani wakivamia Iraq na Libya ulipaswa kulaani kwa nguvu zote pia. Na two wrongs do not make a right. So African leaders, stop your nonsensical approach to the Russia-Ukraine debacle. You are just proving what Trump is always accusing us of - something about shit hole countries!
Hawa viongozi wa kiafrica ni kama “malaya“; hustlers!
Na hawakumbuki kuwa hata Ukraine wakati ule ilikuwa Soviet Union; we are ruled by hustlers
 
Waafrica wakikumbuka haya yaliyotokea kwa waafrica wenzao wanajawa na huzuni sana na kuona hao unaowatetea ni wanafiki tu.
IMG_20221011_053340_125.jpg
20221011_053323.jpg
 
Uliyoyasema ni 100% true. Kwa sasa Africa imekosa uongpzi thabiti.

Mandela aliwahi kutamka kuwa kama ubaguzi wa makaburu dhidi ya weusi ulikuwa mbaya, basi hata ubaguzi wa mtu mweusi dhidi ya makaburu hauwezi kuwazuri. Aliyasema hayo baada ya yeye Mandela kuwa Rais, na kuona kuwa kulikuwa na baadhi ya viongozi wenzake waliokuwa wakiona kuwa wakati ule ulikuwa ni wakati wa kulipiza kisasi dhidi ya makaburu.

Ile hoja ya Malema ni ya kijinga kabisa. Ni sawa na kusema, leo hii jirani aje anisaidie kumfukuza mwizi, kesho huyo jirani akaanza kuua ndugu zangu, halafu mimi niseme kuwa mauaji yale aliyoyafanya jirani dhidi ya ndugu zangu siyo kosa kwa sababu eti yule jirani aliwahi kunisaidia kumfukuza mwizi siku nilipovamiwa.

Anachokifanya Putin ni uhayawani kabisa. Mpaka sasa maelfu ya watu, wengi wao wasio na makosa, including watoto wadogo, wanauawa na makombora ya Putin, halafu eti tunasema hatupo upande wowote! Ni ujinga wa hali ya juu.

Kama kweli utawala wa Ukraine unawabagua wananchi wake, wenye asili ya Urusi, kulikuwa na njia za busara zaidi za kuwasaidia wanaodhulumiwa. Lakini hizo zote ni hadithi za Putin katika kuhalalisha uvamizi. Amekuwa anatafuta kila njia kupanua mipaka ya Russia kwa kumega maeneo ya mataifa ambayo zamani yalikuwa kwenye mwungano wa USSR na sasa yamejiunga na EEC. Amekuwa anavipatia silaha na fedha vikundi vinavyopinga serikali zao katika mataifa hayo. Mataifa hayo yakichukua hatua dhidi ya hivyo vikundi, anasema eti vinabaguliwa na kutendewa unyama.

Putin, kwa sasa, ni laana ya Duniani. Na yule mtu ni kichaa. Anavyosema anaweza kutumia silaha za nuclear, yule anaweza kufanya.

Zamani nilikuwa namwona Putin kati ya super intelligents wa Dunia, lakini nilipokuwa Brazil, siku moja nilikutana na Warusi 8 among elites of Russia, walichonieleza kuhusiana na Putin nilishangaa sana, na nikaamini yale maneno ya wahenga kuwa kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake. Putin ni dikteta na anaiongoza Russia kwa mkono wa chuma.
Elites wa Putin ulikutana nao Brazil na wakakuueleza matatizo ya Putin
Ww utakuwa Samia?
 
Je, kitendo Cha Gadaffi kufanya hivyo ndo kiliwapa kibali NATO kuivamia Libya? Na hiyo ndo haki ambayo unataka kuisema hapa?
Sheria za kimataifa zinasemaje? Unafahamu azimio la umoja wa mataifa lilikuwa linasema nini? Una uhakika ni NATO ndiyo iliyotekeleza mashambulizi dhidi ya utawala wa Gadafi au unahisi?

Kama hufahamu:

Under United Nations Security Council Resolution 678, a coalition of 35 countries, led by the United States, fought Iraq in the Gulf War from 1990–1991.
 
Kwa tulipo fikia dunia ya leo hakuna taifa ambalo lina heshima principles hasa pale linapo kuja suala la maslahi (interest) hakuna hilo taifa kwa sasa.

Maslahi ya kitaifa ndio chanzo Cha migogoro mingi ya dunia kwa Sasa leo USA na washirika wake wanaichokonoa China kuhusu Taiwan je, umekuwa kuja na mada humu kuomba viongozi wa Afrika walaani kitendo hiki au unayaona ya Urusi na ukrein?
Ndahani una uelewa mdogo sana kuhusu masuala ya kimataifa. Mgogoro wa Taiwan na Hong Kong dhidi ya China mainland, chanzo chake ni nini? Unafahamu ulianza lini? Au umeanza kuusikia kipindi hiki kwa sababu kumekuwa na outlets nyingi za habari? Nini maslahi ya Marekani ndani ya Taiwan?
 
Mkuu, tunarudi pale pale ninapopakemea - tutanufaika na nini?! Yaani kukemea ufashisti na kusemea amani ili kuzuia watu wasifanye ufashisti sio jambo kuu, bali tutanufaika na nini? Tulipowasaidia South Afrika, Msumbiji, Zimbabwe nk, tulinufaika na nini? Tulipolaani mauaji ya Soweto na kuifanya 16/6/1976 siku maalum ya kukumbukwa hata shule hakuna masomo bali maandamano, tulinufaika na nini? Uko tayari kuwa mtumwa wa mtu ili mradi unanufaika na jambo fulani? Watoto wa kizazi hiki, nyie coach potatoes wa NIntendo na PlayStation mna shida sana. Ndio maana mnalazimishwa kuwa mashoga, na mnakubali ili tu mnufaike na kitu.

Ewa! Huu uzi unatisha kuona akili za watu wengine kukomalia uvivu mpaka wanageuzwa jinsia walahi uwiii [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
 
Sheria za kimataifa zinasemaje? Unafahamu azimio la umoja wa mataifa lilikuwa linasema nini? Una uhakika ni NATO ndiyo iliyotekeleza mashambulizi dhidi ya utawala wa Gadafi au unahisi?

Kama hufahamu:

Under United Nations Security Council Resolution 678, a coalition of 35 countries, led by the United States, fought Iraq in the Gulf War from 1990–1991.
Kwani hizo Sheria za kimataifa zinasema nini kuhusu kutumia raia Kama ngao ya Vita na hiyo ukrein ilifanya nini na ripoti mbali mbali tayali zilithibisha kwamba jeshi la ukrein lilitumia raia Kama ngao ya Vita je hatua gani zimechukuliwa na UN na hayo mabaraza ambayo yamejipa mamlaka ya kusimamia hizo principle ?

Acha kujitoa ufaham kuhusu suala la Libya liko wazi halihitaji hata tafiti kuling'amua
 
Wewe unaongea ya kwako. Siyo aliyoyasema Putin. Putin alitamka wazi kuwa anafanya operation maalum ya kijeshi nchini Ukraine ili kuwakomboa wananchi wa Ukraine wanaotengwa na kuonewa na itawala wa Ukraine kwa sababu ya asili yao, na hao ni wale wanaoongea Kirusi.
Kwa hiyo yako ndiyo data pekee iliyopo kuhusu mgogoro wa Urusi vs Ukraine?
 
Ndahani una uelewa mdogo sana kuhusu masuala ya kimataifa. Mgogoro wa Taiwan na Hong Kong dhidi ya China mainland, chanzo chake ni nini? Unafahamu ulianza lini? Au umeanza kuusikia kipindi hiki kwa sababu kumekuwa na outlets nyingi za habari? Nini maslahi ya Marekani ndani ya Taiwan?
Tunarudi pale pale mkuu masuala ya Taiwan na china ni suala la wachina na wataiwan wenyewe yeye Marekani yupo America uko yana muhusu nini ya China na Taiwan? Yeye mbona kaikalia kimabavu Hawaii na hakuna anaye mpigia kelele

Hayo mamlaka ya USA kujiona kila mgogoro una muhusu anatoa wapi ? Na kwa principle gani? Kama sio maslahi tu

Hakuna taifa la kijinga kwa Sasa ambalo lipo tayali ku-risk watu wake na resources zake kupigania taifa lingine pasi kuwepo maslahi hasa kwa USA na EU
 
Hiyo tafsiri yako, ni tafsiri potofu kuhusiana na 'Kutofungamana na Upande wowote".

Tuliposema hatufungamani na upande wowote haikumaanisha kuwa hatuna upande kati ya uovu na usahihi. Hatusimami katikati ya uovu na wema, bali tulimaanisha kuwa tunasimama katika ukweli bila ya kujaali kama ukweli huo itakuwa kinyume cha Magharibi au Mashariki. Tunapotoa msimamo wetu tunalalia katika ukweli na siyo kusimama katika maamuzi ya blocks zile mbili, yaani ya Mashariki (chini ya Urusi) au ya Magharibi (chini ya Marekani). Na kwenye hilo Nyerere aliliishi.
Kwa hiyo tayari wewe ushafanya conclusion kujua mwema ni nani na mwovu ni nani katika pande hizo mbili. As if una barometer ambayo ukiitumbukiza tu kwa mgogoro itakuonyesha mrusi mwovu, myukraine mwema. Kwa kukosokena barometer hiyo ndiyo maana halisi ya neutrality -- katika hili tupo neutral kwa sababu kila upande una hoja zake za msingi, kila upande unaona upande mwingine ni mwovu, kila upande unajihesabia haki. Kwa nchi za kwetu zisizo na maslahi katika hili kulaani upande huu vs upande ule katika situation kama hii ni kujipendekeza tu.
 
Kwani hizo Sheria za kimataifa zinasema nini kuhusu kutumia raia Kama ngao ya Vita na hiyo ukrein ilifanya nini na ripoti mbali mbali tayali zilithibisha kwamba jeshi la ukrein lilitumia raia Kama ngao ya Vita je hatua gani zimechukuliwa na UN na hayo mabaraza ambayo yamejipa mamlaka ya kusimamia hizo principle ?

Acha kujitoa ufaham kuhusu suala la Libya liko wazi halihitaji hata tafiti kuling'amua
Mie hapa wala sielewi ulichoandika, na ninahisi hata we mwenyewe ukiambiwa ufafanue ulichoandika hutaweza!
 
Waafrica wakikumbuka haya yaliyotokea kwa waafrica wenzao wanajawa na huzuni sana na kuona hao unaowatetea ni wanafiki tu.
I got several words for you; two wrongs don't make a right.

Yes there is discrimination in Ukraine against blacks just like in Russia, Germany, Italy, Greece and God knows where. Does that make it right for Russia to invade Ukraine?

And by the way, if you think Ukraine discriminates against blacks, try Russia!
 
Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika.

Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia principles, sio urafiki au maslahi ya Tanzania

NInaamini kwa dhati katika hili Nyerere angemlaani Putin katika suala la hii vita. Alishasema, kwamba hii mipaka ya nchi zetu, japokuwa mara nyingine hatuipendi, lakini hatutalazimisha ibadilishwe. Kuwekwa kwake kwa sasa ni jambo la kihistoria na acha ibaki hivyo kwa ajili ya amani na ujirani mwema, japo labda hatuipendi.

Kwa hivyo basi, katika suala la vita kati ya Urusi na Ukraine, madai ya Putin kwamba Ukraine inawaonea watu wenye asili ya Urusi ndani ya Ukraine kwa hiyo wanavamia Ukraine kuwakomboa watu wenye asili ya Urusi, ni ujinga uliopita kikomo na usiopaswa kukubalika na kiongozi yeyeote mwenye akili timamu. Ni sawa na sisi Tanzania, leo hii tuwaambie Wakenya kwamba maeneo ya Kajiado wanayoishi Masai wa Kenya yako nyuma kimaendeleo kwa hiyo tutaingia Kenya kuchukua maeneo haya kwa kuwa Wamasai wa huko ni sehemu ya Wamasai wa Tanzania na wanapaswa kufikiriwa na kuendelezwa kama sehemu nyingine za Kenya, halafu tuivamie Kenya kijeshi. Unaona ujinga huo?

Sasa hapo ndipo Africa Union ilipaswa isimamie bila woga na kujali maslahi. Kina Malema kule South Africa wanasema tutam-support Putin na Warusi katika huu mgogoro kwa kuwa Urusi ilituunga mkono kwenye freedom strugle. Stupid stinking thinking! Kumbuka Nyerere alichosema pia, hatukuwaunga mkono ANC kwa sababu ni weusi kama sisi, bali kwa sababu walikuwa wanabaguliwa na hatupendi ubaguzi wa rangi kwa kuwa unakiuka haki za binadamu.

Sasa Nyerere alimaanisha nini? Kwamba itakuwa ujinga sana kwa Raisi wa Tanzania, siku ANC, chama cha weusi wengi kule South Africa, wakianza kunyanyasa wazungu na kuwabagua, Tanzania kuendelea kuwaunga mkono kwa sababu tu ANC ni chama cha weusi wenzetu. Ikiwa wazungu hao Afrika Kusini leo hii wakibaguliwa na haki zao za kibinadamu kukiukwa na ANC na watu weusi wa South Afrika, na wazungu hao wakaanzisha mapambano ya kujikomboa, itabidi Tanzania tuwa-support na kuwapa kambi zote hapa nchini zilizokuwa za ANC kuwa kambi zao za kupigania uaswa nchini Afrika Kusini.

Kumbuka pia, kwa nini Nyerere aliunga mkono Biafra kule Nigeria, japo tulikuwa marafiki wa serikali ya Nigeria? Kwa nini Nyerere alivunja uhusiano na Uingereza, Israel na Ujerumani wakati fulani licha ya misaada mikubwa tuliyokuwa tunapata toka kwao? NI suala la principles, sio maslahi ya nchi au urafiki. Haya ndio mambo yalifanya Nyerere aheshimike sana duniani. Rational and fairness principles.

Leo hii jirani yako anakupa lift kwenda kazini, siku akishutumiwa kuwafanyia unajisi watoto, utamtetea au kukaa kimya kwa sababu amekuwa akikupa msaada? Labda wewe kama una tatizo la mtindio wa ubongo.

Sasa hawa viongozi wetu hapa Afrika, kama wangejua jinsi ya kusimamia principles badala ya maslahi, hili suala la Urusi na Ukraine is a no brainer - wangetoa tamko la kumlaani Putin. Huwezi kusema mbona Marekani walivamia sijui Iraq, Libya nk. Utakuwa unatukumbusha tu jinsi usivyo na msimamo kwa sababu wakati Marekani wakivamia Iraq na Libya ulipaswa kulaani kwa nguvu zote pia. Na two wrongs do not make a right. So African leaders, stop your nonsensical approach to the Russia-Ukraine debacle. You are just proving what Trump is always accusing us of - something about shit hole countries!
Usimsemee Nyerere , maana hua hata iota ya uwezo wake wa kufikiri.
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.
 
Back
Top Bottom