Msimchukulie poa Haji Manara

Msimchukulie poa Haji Manara

Hisa za Bongo hata kama simba na yanga wangekuwa registered DSE zisingeathirika na Haji Manara.
Huko mbele wanunuzi na wauzaji wa hisa mda wote macho yao yapo ubaoni wanatrade kama vijana wa bongo na CRYPTO and the like
Kibongobongo hata hao wenye hisa mpaka wastuliwa na BROCKERS wao juu ya fluctuations za hisa ndio wareact kwaio tukio la jana lisingeathiri chochote unataka mkupaisha tu

Hivi GSM si wapo DSE?? Kaulize utujuze hisa zao zimepanda kwa kiasi gani tangu jana??
Ngoja wadau wanasema neno hapa.
 
Rubbish. Simba SC itabaki kuwa timu bora kutokana na mikakati yake ya kuandaa kikosi na tactics za uwanjani. Haihitaji domo la Manara ili kuchukua vikombe.

Mashabiki wa Simba wapo na walikuwepo hata kabla ya manara. Nimeanza kuishabikia Simba SC mwaka 1994 wakati huo hata Manara hajulikani.

Don't talk about politics in the world of football.
 
Huyo ole Mushi kawa mjinga shabiki wa kweli hawi influenced na muomgeaji wa team, wengine tumeanza ushabiki wa team Simba tangu utoto, huyo manara hata hakuwepo. Ushabiki hunoga team ikifanya vizuri and not otherwise
You don't know football!
 
Mpira wa miguu siyo sawa na chama Cha siasa,
Upenzi na ushabiki wa mpira au michezo huanza toka utotoni ,fofauti na chama Cha siasa,ndiyo maana tunaona kiongozi wa chama Cha siasa anaweza kutoka chama A akaenda chama C na akaondoka na wafuasi wengi sana,
Hakuna popote pale eti Manara awe na wanachama na ondoke nao ,ujue huyo hakuwa mwanasimba labda Kama alikuwa mpenzi wa Manara.

Je mnara kaludisha kadi ya Simba?
Na viongozi wa Yanga hata hawana akili ya kubaini hilo,

Manara hatabaki kuwa mpenzi na mwanachama kindakindaki mpaka kufa.
 
Kwa litimu kama la yanga ataongea had achanike mdomo vipigo na Simba kunyanyua makombe vitamnyamazisha tu ubora wa timu haupo kwa msemaji upo kwenye uwezo mmoja mmoja wa wachezaji
 
You don't know football!
Yani ushabiki wa kipumbavu wa manara ndo football, are you serious yani una team mbovu then wategemea mpiga Domo ndo akuze team mhhhhhhh
 
Basi timu ziwaondoe wawekezaji.
Zitafute wasemaji kama Manara ili ziweze kufanya vizuri uwanjani.
 
Yani ushabiki wa kipumbavu wa manara ndo football, are you serious yani una team mbovu then wategemea mpiga Domo ndo akuze team mhhhhhhh
The game is played on and off the pitch, especially in Africa.
 
Yani ushabiki wa kipumbavu wa manara ndo football, are you serious yani una team mbovu then wategemea mpiga Domo ndo akuze team mhhhhhhh
Hujui kwamba ukiwa na gari mbovu, unatakiwa umpatie mpiga debe nzuri! Litajaza tu, tena mapeemaa. [emoji16]
 
Mbona Thobias Kifaru na yule jamaa mwingine mzee wa kupapasa Masau Bwire ni wachongaji ngenga wazuri sana kuliko hata Manara, na timu zao haziuzi jezi wala kuwa na umaarufu...
 
Mpira wa miguu siyo sawa na chama Cha siasa,
Upenzi na ushabiki wa mpira au michezo huanza toka utotoni ,fofauti na chama Cha siasa,ndiyo maana tunaona kiongozi wa chama Cha siasa anaweza kutoka chama A akaenda chama C na akaondoka na wafuasi wengi sana,
Hakuna popote pale eti Manara awe na wanachama na ondoke nao ,ujue huyo hakuwa mwanasimba labda Kama alikuwa mpenzi wa Manara.

Je mnara kaludisha kadi ya Simba?
Na viongozi wa Yanga hata hawana akili ya kubaini hilo,

Manara hatabaki kuwa mpenzi na mwanachama kindakindaki mpaka kufa.
Hata yeye ashawahi kusema atakuwa shabiki wa simba mpaka kufa.
Sema ameenda kule kibiashara
 
Kwa litimu kama la yanga ataongea had achanike mdomo vipigo na Simba kunyanyua makombe vitamnyamazisha tu ubora wa timu haupo kwa msemaji upo kwenye uwezo mmoja mmoja wa wachezaji
Ila itakua ameenda yanga kibiashara sizani kama kuna usemaji ndani yake.
 
Mpira uwanjan sio maneno,yani simba wacheze birian wanifurahishe afu nshindwe kununua jezi ety kisa manara hayupo ???? Dah ..ntakuwa wamwisho kukubali hili
 
MSIMCHUKULIE POA MANARA
.
Ameandika @Thadei Ole Mushi.

1.Kama Hisa za Simba zingekuwa sokoni kwa sasa lazima zingeshuka Sana huku za Yanga zikipanda kwa kitendo Cha Manara kuhamia Yanga.

2. Kibiashara Simba kapoteza, hamasa ya Haji kwenye Mpira si ya kuhoji. Kwanza Jersey za Simba hazitatoka Sana kama mwanzo kutokana na kejeli za Manara, lakini pia Simba haiwezi kujaza Uwanja Kwa kiwango Cha Manara alipokuwa akiwapa Hamasa. Hili halitajificha soon tutaliona.

3. Kuna watu wanasema Maneno kwenye Mpira si kitu hivyo Manara Hana athari zozote. Kikubwa wanachosahau watu wa namna hii ni Kuwa soka letu la ndani Ladha yake ni maneno haya ya kina Manara.

Hakuna Timu inaendeshwa ki- professional kama Azam wanachokikosa Azam ni Ladha hii ya kina Manara. Ndio maana Masau Bwire anaweza kukufanya ukaifuatilia Ruvu shooting bila kujua Mchezaji hata mmoja wa Ruvu Shooting. Hii ndio Ladha halisi ya Mpira wetu.

4. Wanaolalamika Manara kwenda Yanga waambie walitaka afanyeje? Abaki nyumbani? Au arudi kule Simba? Yaani Manara asikilize Mtu aliyepo huko Tandahimba kashiba mihogo yake kuwa usiende Yanga halafu utamjazia mafuta ya gari wewe? Utamlisha? Utahudumia familia yake? Yaani aache Dili la GSM kisa aliwahi kuwa Simba?

Mnaombeza Manara hamjui mlifanyalo, Simba kapoteza na kama Fred Vunjabei angelijua haya yangetokea asingekubali kuweka ule mzigo wake Kwenye jersey ya Simba. Lazima mauzo yashuke kutokana na kitendo hiki.

Tusubiri tuone.

NB: Mimi nimewasilisha kwako wala sijaandika mimi haya yameandikwa na Ole Mushi hivyo msinipige vijembe binafsi si shabiki wa YANGA Mimi ni SIMBA
Simba wamemtema sio kwamba wamepoteza.
 
Mbona Thobias Kifaru na yule jamaa mwingine mzee wa kupapasa Masau Bwire ni wachongaji ngenga wazuri sana kuliko hata Manara, na timu zao haziuzi jezi wala kuwa na umaarufu...
Itakua hawajui kua ni ubora wa timu ndo hufanya mazuri.
 
Hisa za Bongo hata kama simba na yanga wangekuwa registered DSE zisingeathirika na Haji Manara.
Huko mbele wanunuzi na wauzaji wa hisa mda wote macho yao yapo ubaoni wanatrade kama vijana wa bongo na CRYPTO and the like
Kibongobongo hata hao wenye hisa mpaka wastuliwa na BROCKERS wao juu ya fluctuations za hisa ndio wareact kwaio tukio la jana lisingeathiri chochote unataka mkupaisha tu

Hivi GSM si wapo DSE?? Kaulize utujuze hisa zao zimepanda kwa kiasi gani tangu jana??
GSM sio public listed company. Haiko DSE ni kampuni ya Mohammed na wenzake
 
Back
Top Bottom