Mpira wa miguu siyo sawa na chama Cha siasa,
Upenzi na ushabiki wa mpira au michezo huanza toka utotoni ,fofauti na chama Cha siasa,ndiyo maana tunaona kiongozi wa chama Cha siasa anaweza kutoka chama A akaenda chama C na akaondoka na wafuasi wengi sana,
Hakuna popote pale eti Manara awe na wanachama na ondoke nao ,ujue huyo hakuwa mwanasimba labda Kama alikuwa mpenzi wa Manara.
Je mnara kaludisha kadi ya Simba?
Na viongozi wa Yanga hata hawana akili ya kubaini hilo,
Manara hatabaki kuwa mpenzi na mwanachama kindakindaki mpaka kufa.