Msimhukumu Rais Samia pasipokuwa na uhakika

Kwa hiyo learned person kwako wewe kwa sababu kwa tafsiri yako IGA ile siyo commercial agreement kwa hiyo haina madhara hata isipotekelezwa? Aidha, kwa sababu haujaweka wazi consideration za kifedha basi sio mkataba na both parties hazina contractual obligations?

Amandla...
 
Nchi nyingi zina BIT lakini mwekezaji akienda huko ataingia mikataba mingine ya kibiashara.

Kama umewahi kusoma BIT ya nchi yoyote ni yale yale ya kwenye IGA, difference ya BIT ni generalisation ya articles, whereas in IGA ni specific on one area.

Ukitaka kujua umahiri wa hao watu, humu kuna wana sheria, waambie wajibu swali langu lifuatalo ‘awafundishwi contract law’, wakijibu hilo na wewe utapata majibu ya uwezo wa hao watu kwenye maswala ya mikataba.
 
Rais anashinikizwa? Hasa hapa Tanzania labda Marekani. Mwache ajifunze kuwa makini na mambo ya uongozi.
 
Hakuna cha kutekeleza kwenye IGA if anything serikali ikiwazungusha zungusha baada ya miezi 12 bila ya kukubaliana chochote toka wasaini na sheria yenyewe inakufa naturally.

Sasa we unadhani kwa sasa watashitaki kwa makubaliano gani ya kibiashara waliyo nayo.
 
Kusoma kwingi sio lazima uelimike. Hiyo BIT unaijua wewe lakini jopo la TLS hawaijui?

Amandla...
 
Una hoja ya Msingi lakini H.E ndiye anakuwa na final decision.
 
Na hivi wameisaini ndani ya hiyo miezi hawana obligation ya kutekeleza yaliyomo katika IGA? Hawawi obliged kuingia katika HGA na DPW katika hizo priority projects zilizopo kwenye appendix? Unataka kutuambia kuwa serikali inaweza kuamua kuipa kampuni ya kichina au kitaransa kuendeleza miradi iliyoainishwa bila repercussions zozote kwa vile tu bado TPA haijaingia katika HGA na DPW? Hivi unatuonaje?

Amandla.
 
Akisifiwagwa kwa kazi nzuri za serikali mbona huwa hamsemi kitu.

Kama mazuri ni yake kwa nini Mabaya yasimuhusu. Kama hahusiki kwa nini kauchuna as if hakuna kunchoendelea!!
Umewahi kuwa hata balozi wa nyumba 10?


Nijibu...
 
Hana any move niliyowahi kuielewa tangu aingie madarakani HAKUNA

uongozi wake wote ni copy n paste hana jambo jipya kama Rais yani ni

kiongozi ambae ukimuangalia unaona hapa tumerudi awamu ya NGAPI

ki ufupi katika sakata hili la BANDARI na huu mkataba atalinywa,kwa kua kalikoroga mwenyewe.

Yani hata kama atoe ushahidi kwamba alishikiwa bunduki wakati ana saini,bado Hamna ataemuelewa.

Anazidi kuchefua watu zaidi anavyojifanya anataka kuongezwa muda wa uongozi,anaboa kinyama.
 
Hapana,

Pasipo na uhakika rais anastahili lawama.

Kwa sababu ni kazi yake kuwatoa hofu wananchi na kuwapa habari za uhakika. Hii ni haki ya kikatiba ya wananchi.

Lakini, mpaka sasa hivi Samia amekuwa MIA. Missing In Action.
 
Katiba inasema nini kuhusu Mamlaka ya Rais? Unajielewa kweli wewe?
 

Mkataba gani zaidi ya huu,shida ni mkataba sio dpw.
 

Mkatava huu ndio foundation ya ijayo,haufai.
 
Taratibu za Nchi za Manunuzi zimefutwa mpaka mtafute Investors kwenye maonyesho ya Sabasaba Dubai?
 
Time frame ni miezi 12 baada ya kusainiwa kwa IGA.

Kwanza kabisa unatakiwa utoe assumption ulizojijengea kuwa IGA ni commercial agreement. Hiyo ni communication barrier kwenye huu mjadala kwa upande wako.

Ukishatoa IGA sio commercial agreement, kilichopewa muda wa miezi kumi na mbili baada ya kusaini IGA ni hiyo mikataba ya HGA na Project Agreement ambayo kama kutakuwa hakuna hatua zozote hii sheria ya IGA inakufa.

Baada ya miezi 12 kupita serikali inaweza jadiliana na mtu yeyote kama hakuna mazungumzo yeyote na DPW, kwanza na sheria yenyewe inakuwa aina nguvu tena.
 
Mwaliko wenye nguvu za kisheria na mahakama itakayotumika kutatua migogoro!
Of course kwa sababu ni sheria tayari maana yake ni implied ni contract term kwa mikataba ya baadae.

Arbitration sio mahakama ni baraza la usuluhishi hakuna mwekezaji makini asietaka hilo. Ukijisahau ukaleta urafiki bila ya kuweka neutral clause ya kutatua migogoro ukaenda mahakama ya nchi husika google sakata la ‘British Gas v Enron’ uone Enron walilipishwa kiasi gani mahakama za U.K. na kujuta kusahau kuweka kipengele cha neutral kwenye migogoro.

Hakuna mwekezaji timamu wa nje asieweka hiko kifungu na wala hakuna BIT yeyote inayokosa hiko kipengele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…