Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Na wewe unaosha Tukuyu tu?Mi mwenyewe kitu nisichopenda ni kuoga.
Nanawa miguu kwapa na tukuyu nalala zangu kimyaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nanawa miguu kwapa na tukuyu nalala zangu kimyaa
What??🙄😲😲. Anasema eti akioga mwili mzima Tukuyu itapungua Moto 🔥🔥 🔥🔥 🔥
Wee utakuwa na Moto 🔥🔥 🔥🔥 🔥 Kama nanjunji jikoNanawa miguu kwapa na tukuyu nalala zangu kimyaa
Ushauri mzuri Sana huu, fire brigade wenyewe magari yao wanayajaza mchanga tu siku hizi, maji wamekatiwaHuyo mpeleke Car wash... unaongea na wale vijana unawakatia kama buku tano hivi. Wanamfumulia yale maji kama wanaosha malori ya kubeba taka. Hii nakusaidia ili mambo yasijezidi kuwa mabaya ukajikuta unalazimika kuingia gharama kubwa kuita Fire Brigade ...
Wajanja tushakuelewa lakini... hapa lazima unazungumzia kitimoto... Pamoja na mambo yake yote yale bado anabakia kuwa mboga tamu kuliko zote duniani na kwenye mabaa... shahidi yangu Kasie Mahaba Matata
Unapenda kuogeshwa najua. Afu kila nikikupa mwaliko unanipiga kibuti. Sijui nimwachie Mungu?Mi mwenyewe kitu nisichopenda ni kuoga.
Mi mwenyewe kitu nisichopenda ni kuoga.
Afu wewe... hebu uje huku nikusugue tukuyu
Mnazeeka vibayaHuyo mpeleke Car wash... unaongea na wale vijana unawakatia kama buku tano hivi. Wanamfumulia yale maji kama wanaosha malori ya kubeba taka. Hii nakusaidia ili mambo yasijezidi kuwa mabaya ukajikuta unalazimika kuingia gharama kubwa kuita Fire Brigade ...
Wajanja tushakuelewa lakini... hapa lazima unazungumzia kitimoto... Pamoja na mambo yake yote yale bado anabakia kuwa mboga tamu kuliko zote duniani na kwenye mabaa... shahidi yangu Kasie Mahaba Matata
Naomba nijitolee kukuogeshaMi mwenyewe kitu nisichopenda ni kuoga.
Tulia wewe babu hata nguvu za kusugua unazo?Afu wewe... hebu uje huku nikusugue tukuyu
Ila hakuna kitu kinamaliza mwili wangu Kama kuoga jamani..najikuta nauonea ubahili mwili wangu.
Naona mnajiongezea point tatu kwa bujiMi mwenyewe kitu nisichopenda ni kuoga.