Msimsimange, mie nampenda hivyo hivyo

Msimsimange, mie nampenda hivyo hivyo

Ni mrembo hakika, kwa sura na umbo ameumbika. Tatizo hataki kuoga, linapokuja swala la kuoga ni ugomvi mkubwa.
Yeye huwana uso, husugua makwapa, na kuiosha Tukuyu, baada ya hapo ndio Hadi kesho.
Mswaki anapiga vizuri kabisa.

Hana tabia yoyote mbaya, nyumba Safi Kama peponi, adabu ndio mahali pake, upendo na ukarimu ndio sifa zake.
Tatizo ni KWENYE kuoga tu, anasema nimvumilie huo ndio udhaifu wake.
Hata maandiko yalisema "ndege wafananao huruka pamoja" mkuu naamini huyo anafanana kabisa na mimi hebu niunganishe nae haraka tuanze kugegedana bila kuoga
 
Ni mrembo hakika, kwa sura na umbo ameumbika. Tatizo hataki kuoga, linapokuja swala la kuoga ni ugomvi mkubwa.
Yeye huwana uso, husugua makwapa, na kuiosha Tukuyu, baada ya hapo ndio Hadi kesho.
Mswaki anapiga vizuri kabisa.

Hana tabia yoyote mbaya, nyumba Safi Kama peponi, adabu ndio mahali pake, upendo na ukarimu ndio sifa zake.
Tatizo ni KWENYE kuoga tu, anasema nimvumilie huo ndio udhaifu wake.
Eti kuiosha Tukuyu [emoji16][emoji847][emoji114]
 
Back
Top Bottom