KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
CHuyo mpeleke Car wash... unaongea na wale vijana unawakatia kama buku tano hivi. Wanamfumulia yale maji kama wanaosha malori ya kubeba taka. Hii nakusaidia ili mambo yasijezidi kuwa mabaya ukajikuta unalazimika kuingia gharama kubwa kuita Fire Brigade ...
Wajanja tushakuelewa lakini... hapa lazima unazungumzia kitimoto... Pamoja na mambo yake yote yale bado anabakia kuwa mboga tamu kuliko zote duniani na kwenye mabaa... shahidi yangu Kasie Mahaba Matata
Wee mzee muhuni sana, duh