Msimsimange, mie nampenda hivyo hivyo

Mi nisipooga nahisi kama Kuna vitu vinatembea mwilini na nakuwa mzito mzito siku inakuwa mbayaa
 

Malabuku zako bin tumbafuu zetuu aahahahahahhaaa
Halafu Babu leo naniliuu....

Saa saba mchana sharp.
 
Mkuu, uwe unaoga nae labda inaweza amsha hisia za yeye kuoga. na kabla hujamaliza umalize na yeye hukohuko, anaweza penda kimchezo maeneo hao then mwenyewe atakua hawezi kuoga bila wewe. 😁😁😁
 
Na wasichana wasiopenda kuoga ni wanahashiki usipime.
 
Ukiwa na mwandani pepo si rahisi kujua ila watu wa nje ndio tunajua
 
Kwa hiyo tukuyu ipo kama K??
Watu watukuyu njoon huku muone mtu kawatukana
 
Hapo mkiingia maabara ya kutengeneza mtu jasho ikianza mnafumba pua
 
Mi mwenyewe kitu nisichopenda ni kuoga.
Tuko wengi kumbe, huwa naoga kutimiza wajibu

Kuna ujauzito fulani nilichukia kuoga nakumbuka nilivuta mwezi mzima pasipo kuoga Ni kunawa uso kwapa miguu na papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…