Kwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila dam yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.
Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.
Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.
Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.
Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Naam! ni mtu wa hovyo sana!Kwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.
Mtu wa hovyo sana
Umeona eehHp hajatekwa
Ben saa nane ni Uongo muulize MboweKwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.
Mtu wa hovyo sana
Na wenye kusikia na wasikie huu ushauri mzuri. Na kuufanyia kaziNaziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila dam yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.
Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.
Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.
Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.
Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. 🙏
Hakuna mnajimu wa mchawi ataruhusu dam ya huyo kijana imwagwe atakaye toa ilo wazo na likatekelezwa mtakuja kusimulia. Hakuna ataamini tusitafute kuona kile kitatokea tuache hili lipite tumesha shauri manabiiYule mama ameongea maneno machache, ila yana ujumbe mzito sana kwa watekaji na wauaji wanaolindwa na hii serikali ya huyu mama. Na ikatokea wakampoteza moja kwa moja, huenda tutakuja kuona kitakacho tokea siku za baadaye.
nimekumbuka uzi wako baada ya kuchapanaHakuna mnajimu wa mchawi ataruhusu dam ya huyo kijana imwagwe atakaye toa ilo wazo na likatekelezwa mtakuja kusimulia. Hakuna ataamini tusitafute kuona kile kitatokea tuache hili lipite tumesha shauri manabii
Posts kama hizi mahala pake ni jukwaa la chawa wa mama!Hp hajatekwa
Upo nae hapo sebleni kwako mnacheza PS2 au sio?Hp hajatekwa
Damu ya Lumumba inavozidi tafuna taifa la Congo, mamlaka ziwe makin na damu wanazomwaga laana yake italitafuna Taifa letu daima litalaaniwa milele.Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila dam yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.