Aliungama kwa makosa yote ALIWAHI kufanya. Na inawezekana hakuua, mikono ye HAINA damu..ila moyo kichaka. Ukweli wanajua wenyeweKwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.
Mtu wa hovyo sana
Basi wajipange kupokea karma; waliokwenye list ya mleta madaUmechelewa.
Wameshammaliza tayari.
Kimsingi tulishalaanika. Hizi damu zisizo na hatia ni mbaya sana. Binafsi nimeiogopa sana damu ya mdude.Damu ya Lumumba inavozidi tafuna taifa la Congo, mamlaka ziwe makin na damu wanazomwaga laana yake italitafuna Taifa letu daima litalaaniwa milele.
Kuwasamehe watu kisa wameungama ni mtego mbaya. Watu wanafanya mambo machafu kila leo kwa kisingizio kuwa tutaungama!!Aliungama kwa makosa yote ALIWAHI kufanya. Na inawezekana hakuua, mikono ye HAINA damu..ila moyo kichaka. Ukweli wanajua wenyewe
Hapo ndio uone huyu mama hajielewi wala hana washauri wazuri. Na hao watoto na mkwe anaowasikiliza na kuendesha nchi ndio kabisaaa, hawana wanalojua.Polepole wamuachie aende zake bila masharti yoyote kwanza kulikuwa hakuna ulazima wa kumshikilia
Hivi mkuu Kuna mtu Duniani unayemchukia zaidi ya Magufuli ?Kwa H Polepole nakataa, damu yake ni chafu kama ya Magufuli tu. Yeye na Magufuli ndiyo waliwatanguliza akina Ben Saanane. Muache naye akaungane nao huko wayajadili vizuri.
Mtu wa hovyo sana
Wakiwa na akili timamu hawatomuua Hp labda kama hawafikirii mbele, anyway wakimuua who is next
Hii ndio habari inayoweza kuwa ya kweli kabisa. Sasa watacheza mchezo wa kuwafeed wanaharakati uchwara kuwa yupo sehemu, sijui anapelekwa Comoro! Hamna namna akawa hai mpaka sasa..
Wako sawa kwa action waliyochukua. Kama Polepole asingechukuliwa hatua basi mwingine angetokeza naye akaanza kubwabwaja.Hapo ndio uone huyu mama hajielewi wala hana washauri wazuri. Na hao watoto na mkwe anaowasikiliza na kuendesha nchi ndio kabisaaa, hawana wanalojua.
Polepole alikuwa kashakosa wasikilizaji kwenye lives zake. Video ya mwisho, hakuna watu wengi waliokuwa na time nae. Kumkalia kimya /kumuignore, ilikuwa ni tactic kubwa sana na ilikuwa inawork kwa upande wao. Polepole tayari alikuwa hana jipya la kuongea, alinza kurudia rudia maneno, unaona kabisa kashaexhaust silaha (points) zake zote. Na somehow alikuwa anaona hafatiliziwi tena (pale mwishoni), ikawa kama inamuuma. Kumbe hii ilikuwa ni tactic nzuri tu ya kwenda nayo. Sasa wanaorun nchi kwa sasa wasivyo na busara wala akili, wamekalia visasi tuuuuu, still wakaona suluhisho ni kuteka na pengine kumuondoa kwenye uso wa dunia.
Nchi inaongozwa kwa emotions tuuuu, uswahili, ughetto, vijembe na visasi.!! Wametufikisha sehemu mbaya sana. Kama nchi hakuna aliyewahi kudhani tungefika huku. Tulikuwa proud sana na nchi yetu ila sasa yote yanaondoka. Ila kwa kudra za M/Mungu, tutatoka.
PoleeeBado na wewe zamu yako ,enzi za Jiwe ulihusika kama Polepole na wakuue.
Wakati drone za wanamtandao na wanamtandao wanagonga mvinyo na chears za kutosha!Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.
Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.
Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.
Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.
Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. π
Polepole hakua na ushawishi mkubwa hivyo wa kuliathiri taifa kwa yaliyomtokea,,,sio zaidi ya mwezi atasahaulika na habaria zake hazitakua na uzito kwenye mitandao.Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha.
Mbaya zaid haitozima uwasi ila itachochea huwasi mbaya ktk nchi na visasi vibaya sana ktk taifa ambavyo havikuwahi onekana.
Yasikilizeni maneno ya mama yake mkaelewe maana yake "Namuomba mwanagu akiwa hai au mfu nikamzike"
This is the test of all time for nation and leader.
Nawaomba msimwage dam msimwage dam maana mtatekeleza laana mbaya ktk uzao wenu.
Hamto ila nchi hamto weza kubadili upepo wala nyakati hivyo mpisheni shetani apite. Mungu ibariki Tanzania. π
Sawa tutamsahau. Je ardhi iliyomwagiwa damu yake nayo itamsahau??? Mimi na wewe tusipoongea mawe yaliyo juu ya ardhi yatamlilia na kulipa kisasi juu yake.Polepole hakua na ushawishi mkubwa hivyo wa kuliathiri taifa kwa yaliyomtokea,,,sio zaidi ya mwezi atasahaulika na habaria zake hazitakua na uzito kwenye mitandao.
ni kweli,,,lakini ardhi na mawe unavyoviongelea unamaanisha fikra zake na mema yake aliyowatendea watanzania ndio watayakumbuka daima ambayo hayapo,, alichofanya yeye ni kueleza maovu yaliyokua yanatendeka serikalini ambayo na yeye alikua akiitumikia,,,na hayo aliyoyaeleza hayakua mapya,,,alieleza wizi wa kura, alizungumzia ukiukwaji wa haki za binadamu na utawala bora,,,haya yote yalikua ni kilio cha watanzania kwa miaka mingi kwenye serikali na chama ambacho na yeye alikuwa anakitumikia.Sawa tutamsahau. Je ardhi iliyomwagiwa damu yake nayo itamsahau??? Mimi na wewe tusipoongea mawe yaliyo juu ya ardhi yatamlilia na kulipa kisasi juu yake.