GE2025 Msimuue Polepole kwa namna yoyote maana damu yake italitesa Taifa na mtaongeza uasi (ushauri)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kila nikikumbuka ule usemi wa yule muhuni kwamba wazuri hawafi, moyo wangu unakufa ganzi.
 
Eti Eti Eti kuta za Siri za taifa hili zinaruhusu MTU kama Pole pole anapotea bila kujulikana alipo!!

Yaani pole pole na juhudi zake za kuwaunganisha watz katika kudai hakinndani ya chamanna serikali anavamiwa kama jambazi na kudhurika halafu eti nchi hii Ina usalama was taifa na majasusi wenye uwezo mkubwa Kwa mstakabali ujao!!

Kuruhusu Mateso Kwa kina pole pole ,Lisu na wengineo ni kuua DNA ya uongozi kwa taifa hili!!kwanini wasivumiliwe kama tunavyowavumilia mafisadi waliopo nchini!!?

Nimeumizwa sana na pole pole !ameniuma mno huyu jamaa!nilikua na ndoto za kufanya name kazi!!
 
Bring back Polepole.
 
CCM ni wakatili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…