Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Yule ni mhuni na tapeli.Wapi amesema anapambana na serikali?
Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda Marekani au Kenya uone Rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.
Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.
Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu...
Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Kwahiyo huko Kenya na Marekani wanatawala malaika ?Huu uzwazwa wako ndo tunataka tuonfikane nao. Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda marekani au Kenya uone rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.
Je serikali inao huo usafi wa kumnyooshea yeye kidole?Yule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Alisema hivyo ? Kama kweli why hakusema jamaa akiwa hai ?Shetani alikuwa Ikulu. ....by askofu Mwingira
Keyboard heroes at work. 😁Huu uzwazwa wako ndo tunataka tuonfikane nao. Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda marekani au Kenya uone rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.
Urais ni public service Kama wewe na Mimi na ndo Mana alitupigia magoti ili tumpe hiyo service aweze kula au apate kazi vinginevyo angekuwa jobles hivyo lazima awe na customer care kubwa tusimnyanganye kazi hiyo tukampa mwingine. Wewe ukitukanwa na boss wako kazini huwa unafanyaje? Ukimind acha kazi tutafute mwingine.
Usizuie mvua acha inyeshe tuone panapovujaHuwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Victoire? 🙂Alisema hivyo ? Kama kweli why hakusema jamaa akiwa hai ?
basi chedema huko wamefuraaaahii eti anaikosoa serikali mavi yakeYule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Na aliyepo sasa hivi ni mtoto wa shetani...Shetani alikuwa Ikulu. ....by askofu Mwingira
Zile za EPA zilizobebwa kwenye mifuko ya sandarusi mmewahi kuzirudishaz?Yule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Mwingira ni sawa na 0 punje kwa Serikali inaouwezo ima wa kumnyamzisha ama kumfanya lolote itakaloJe serikali inao huo usafi wa kumnyooshea yeye kidole?
Wewe unajua alichopitia?...punguza mdomo...wewe kwa Mwingira mchumba tu...Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Jikite kwenye madaZile za EPA zilizobebwa kwenye mifuko ya sandarusi mmewahi kuzirudishaz?