Nabii gani unayemfahamu kwamba ni nabii au alikuwa nabii na ilikuwaje wewe ukamtambua kwamba alikuwa nabii na nani alimwita kuwa ni nabii? (Naona harufu ya chuki za kiimani hapa).
La pili watu kama wewe hamfai kuwa watetezi wa watu kwa sababu ya ujinga, ubinafsi ama uwoga na wakati huyo mtetezi akiwa uhamishoni, watu kama wewe hupotea na vizazi vyao vyote!.
La tatu, kama hujui, Mwingira anajua usalama wake hauuko katika upeo wa anga la wachawi!, ambao wanaweza kujitutumua kwa kuwa wanaweza kugeuza mtu kuwa paka ama msukule. Mwingira anaona zaidi ya anga hili na maisha yake ni marefu kuliko ya kwako unayeona mwisho miaka 80.
Watu wangapi walikimbia nchi na wengine kuuawa ama kufia uhamishoni na mwisho wake damu na sauti zao ziliishi na kuzaa matunda?
NI MNAFIKI AMA MWOGA WA KUSIMAMIA KWELI GANI UNAYEMFAHAMU ALIYEFANIKISHA HATIMA ZA JINA LAKE NA VIZAZI VYAKE?