hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,311
Kwa kuwa ni muhuni atakiwi kusema yaliyo msibu au kutendewa?kwa kuwa ni muhuni ndio achomewe mali zake?au kwakuwa anataperi waumini wake ndio apangiwe njama za kumuuwa?au kuna halali ya kuuuwa aliyempa siri za yeye kuuwawa?Yule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Kumbuka ujinga inaoutetea leo kesho zamu yako,
Angalia Nape kipindi cha miaka hiyo na sasa mwangalie Polepole anavyolalamika
Hii ni nchi yetu sote,palekebishwe panaposta hili
Tusitetee maovu