kupelwa
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 1,090
- 454
Najua wewe unazungumza bila kujua haki ya kuishi na maisha kwa ujumla.ulipo sidhani kama hata hiyo 10 milion unayo.Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.
Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.
Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu.
Lissu aliwahi kukasirika mpaka kuita Taifa la waomba Mungu[emoji1787]
In short, Ili uonekane shujaa unatakiwa kuwa unaiponda sana serikali na Rais halafu na Rais anatakiwa akuache tu maana ndio unajijenga hivyo.
Na sasa hivi kwasababu ni Rais muislam, akianza kumpiga battle huyo mwingine, propagandanists wanaweza kuja na stori za kwasababu ni Mkristo, na unajua mashabiki wa bongo hawana akili.
Ila Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na hakuna kitu utafanya.
Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane. Leo kila shabiki anaendelea na maisha yake utafikiri hakuna kitu kilichotokea.
Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Mwingira kachomewa mali ya 10 bilion ,ulitaka aunamaze?katishiwa kuuawa ulitaka anyamaze,anaona aliyefichua anauliwa yeye akae kimya,vipi wewe?
Inawezekana serikali ikaanza kummaliza ,ila yeye kasema kilichotoke katika kuzingayia katiba na haki ya kuishi,wapo watakaomuunga mkono bila kujali itikadi yake na pia jamii itahoji akaiuawa