Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.

Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.

Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu.

Lissu aliwahi kukasirika mpaka kuita Taifa la waomba Mungu[emoji1787]

In short, Ili uonekane shujaa unatakiwa kuwa unaiponda sana serikali na Rais halafu na Rais anatakiwa akuache tu maana ndio unajijenga hivyo.

Na sasa hivi kwasababu ni Rais muislam, akianza kumpiga battle huyo mwingine, propagandanists wanaweza kuja na stori za kwasababu ni Mkristo, na unajua mashabiki wa bongo hawana akili.

Ila Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na hakuna kitu utafanya.

Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane. Leo kila shabiki anaendelea na maisha yake utafikiri hakuna kitu kilichotokea.

Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Najua wewe unazungumza bila kujua haki ya kuishi na maisha kwa ujumla.ulipo sidhani kama hata hiyo 10 milion unayo.
Mwingira kachomewa mali ya 10 bilion ,ulitaka aunamaze?katishiwa kuuawa ulitaka anyamaze,anaona aliyefichua anauliwa yeye akae kimya,vipi wewe?
Inawezekana serikali ikaanza kummaliza ,ila yeye kasema kilichotoke katika kuzingayia katiba na haki ya kuishi,wapo watakaomuunga mkono bila kujali itikadi yake na pia jamii itahoji akaiuawa
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.

Inaonekana hili jambo limekuumiza hadi unageuka kuwa mpotoshaji, ni wapi kasema anashindana na serikali? Yeye amesema ukweli, na ukweli huo unafahamika.
 
Huu uzwazwa wako ndo tunataka tuonfikane nao. Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda marekani au Kenya uone rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.

Urais ni public service Kama wewe na Mimi na ndo Mana alitupigia magoti ili tumpe hiyo service aweze kula au apate kazi vinginevyo angekuwa jobles hivyo lazima awe na customer care kubwa tusimnyanganye kazi hiyo tukampa mwingine. Wewe ukitukanwa na boss wako kazini huwa unafanyaje? Ukimind acha kazi tutafute mwingine.
Unaandika Mambo yasoyokuwepo. Mtu anazungumza kuhusu hapa wewe unatoa mfano wa Kenya.
 
Hiyo unayojaribu kuielezea ni nadharia tu, lkn Mkaruka anaongea hali halisi ambayo ipo duniani kote.
Nenda Kenya kaulize mauaji ya wapinga serikali wakuoneshe. Juzi juzi kuna masheikh wawili wameuawa Mombasa.
Stop fight with your government, you will never win.
Who keeps the government in power? Is it itself or ourselves? So kwa nini uogope kinyago ulichochonga mwenyewe
Hii Ni sawa na mungu kuhofia shetani wakati Ni kiumbe wake mwenyewe
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
20210520_235406.jpg
 
Najua wewe unazungumza bila kujua haki ya kuishi na maisha kwa ujumla.ulipo sidhani kama hata hiyo 10 milion unayo.
Mwingira kachomewa mali ya 10 bilion ,ulitaka aunamaze?katishiwa kuuawa ulitaka anyamaze,anaona aliyefichua anauliwa yeye akae kimya,vipi wewe?
Inawezekana serikali ikaanza kummaliza ,ila yeye kasema kilichotoke katika kuzingayia katiba na haki ya kuishi,wapo watakaomuunga mkono bila kujali itikadi yake na pia jamii itahoji akaiuawa
Kwahiyo Zitto alikuwa muongo na Mwingira hawezi kusema uwongo ??

======

Ukweli ni upi ?
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Kweli tupu. Mwingira ana vimeo vingi sana, ndiyo maana wakati wa Mwendazake aliufyata kama mkia wa kondoo.
 
Acha wamjaze ajae alafu akutane na mkono wa dola.
Acha kusifia uovu,pensa mema ndugu yangu
Wakolosai 3
8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu.
1 Petro 2
1 Basi, wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote.

12 Mwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.
 
Mleta mada ni mjinga mkubwa!! Huu upuuzi mliokuwa mnamshauri jambazi mwenzenu mmesababishia hadi amekufa! Mwingira hapambani na Serikali, Mwingira anaongea ukweli kuhusu "Ushetani" uliokuwa unafanyika awamu ya 5, ukiongozwa na shetani kuu ambalo hatupo nalo kwa sasa! Serikali ya Samia haina muda wa kutumia nguvu kupambana na watu wanaoongea, ushetani huo ulizikwa 17-3-2021! Kama ambavyo Polepole, Gwajima na wengine wote watakaojisikia kuongea chochote na wanaachwa tu waongee, na Mwingira naye ana haki hiyoo!! Jinga sana wewe jamaa, akiongea Polepole kuikashifu awamu ya 6 mnashangilia, akiongea Mwingira kuonesha ushetani wa JPM mnafura....
Chawa wa Samia uko kazini!
.
Mbona kasema pia huyo Samia wako ni mtoto wa shetani? Vipi hapo?
 
Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.

Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.

Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu.

Lissu aliwahi kukasirika mpaka kuita Taifa la waomba Mungu🤣

In short, Ili uonekane shujaa unatakiwa kuwa unaiponda sana serikali na Rais halafu na Rais anatakiwa akuache tu maana ndio unajijenga hivyo.

Na sasa hivi kwasababu ni Rais muislam, akianza kumpiga battle huyo mwingine, propagandanists wanaweza kuja na stori za kwasababu ni Mkristo, na unajua mashabiki wa bongo hawana akili.

Ila Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na hakuna kitu utafanya.

Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane. Leo kila shabiki anaendelea na maisha yake utafikiri hakuna kitu kilichotokea.

Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Mbona vifo vinawafinya hao Marais mpaka wanakunya hamvifanyi chochote?. Unaongea utafikiri ndiyo mliumba dunia. Mnao uwezo wa kufanya chochote na nyinyi masifanywe chochote. Majinga Kama wewe ndiyo mnatufanya Tunashukuru Mungu kwa kuweka KIFO. Na hao kina azory,saanane,kanguye kina Lisu na wengine mliowauwa ndiyo walisababisha Magu afe mapema.
 
KIFO hata wewe kinakuhusu. Hiyo ni NJIA ya kila kiumbe hai.
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi. Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Umenikumbusha Askofu Mpemba wa hapa Mwanza. Miaka ya 2013-2015 aliletaga ishu zake, eti kwanini Waislamu tu ndio wanachinja. Akapiga promoo kupitia karedio kake ka Kwa Neema FM. Serikali ilipotaka "kumshughulikia" akakimbia nchi hadi leo. Na huyu asubiri tu.
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi. Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Ni kweli umenena vyema, hawezi kupambana na serikali ya mama yetu mpendwa. Samiah hoyeeeee
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi. Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Umeandika upumbavu mtupu,kwani kwa yeye kueleza yaliyomkuta ni kupamabana na dola!?

Wanawatumia wanajua kabisa kuwa nyie hamna akili lakini sijui kwa nini wanawatumia?
 
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.

Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.

Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi. Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Kusema Yaliyomsibu ni KOSA? TUMIA AKILI hata za KUAZIMA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom