Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii ina ushabiki kwenye kila kitu, iwe mpira,muziki,siasa nk. Watanzania kila mda wanataka umbea wa kushangilia na hapo ndio wanasiasa wanapo take advantage. Nchi hii tatizo sio viongozi, tatizo ni wananchi ambao wengi ni majuha na mbumbumbu...Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.
Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.
Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu.
Lissu aliwahi kukasirika mpaka kuita Taifa la waomba Mungu[emoji1787]
In short, Ili uonekane shujaa unatakiwa kuwa unaiponda sana serikali na Rais halafu na Rais anatakiwa akuache tu maana ndio unajijenga hivyo.
Na sasa hivi kwasababu ni Rais muislam, akianza kumpiga battle huyo mwingine, propagandanists wanaweza kuja na stori za kwasababu ni Mkristo, na unajua mashabiki wa bongo hawana akili.
Ila Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na hakuna kitu utafanya.
Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane. Leo kila shabiki anaendelea na maisha yake utafikiri hakuna kitu kilichotokea.
Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Serikali ya kifedhuli kama hii inapaswa kukemewa bila kujali nguvu iliyonayo kwani wanao iongoza ni watu na huumia kwa makaripio kama binadamu wengine, na hivyo huanza kujirekebisha hata kama si kwa uwazi sana kificha aibu yao!Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Wapi nimeshangilia ?Una maana gani? Unashangilia Serikali kuua raia? Unaona ni Sawa? Unashauri raia waendelee kukaa kimya hata wasipotendewa haki? Wanapouawa?
Serikali yoyote ya kishetwani ndivyo inavyowafanyiaga raia wakeHuwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Ndo tunataka tuonfikane na huo ujinga. Hata wale walianza Kama sisi kumwabudu rais ili walifikia hatu wakamuona wa kawaida na sisi tunaweza. It begins with youYaani unabwabwaja kama hauna meno vile. Wewe unaishi tz au marekani? Live practical life not theories bwashee. Tz rais ni zaidi ya Mungu.
Anaweza asiwe msafi Ila yule mumiani wenu alikuwa tatizoYule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Umemsahau mtu mmoja yuko wapi Jiwe maana ndio alikuwa mtoa amri za watu kupoteaWabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.
Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.
Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu.
Lissu aliwahi kukasirika mpaka kuita Taifa la waomba Mungu[emoji1787]
In short, Ili uonekane shujaa unatakiwa kuwa unaiponda sana serikali na Rais halafu na Rais anatakiwa akuache tu maana ndio unajijenga hivyo.
Na sasa hivi kwasababu ni Rais muislam, akianza kumpiga battle huyo mwingine, propagandanists wanaweza kuja na stori za kwasababu ni Mkristo, na unajua mashabiki wa bongo hawana akili.
Ila Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na hakuna kitu utafanya.
Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane. Leo kila shabiki anaendelea na maisha yake utafikiri hakuna kitu kilichotokea.
Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Hivi nchi hii ina freedom of expression kweli?..Mwananchi anayetaka kupambana na Serikali huku akisahau kuwa yeye ni laghai na tapeli wa sadaka za wengine akishughulikiwa kama mhuni kwa sababu tofauti na genge la wahuni basi ninyi wahuni wenzake msipige kelele
Ndio kawaida ya waasi, baada ya kupingana na Ukatoriki dhambi ya uasi inazidi kumtafuna' hawa ndio wachumia tumbo wa kiprotestant na mauchawi yao ya NigeriaHuwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Zile za EPA zilizobebwa kwenye mifuko ya sandarusi mmewahi kuzirudishaz?
Unazungumzia dola iliyo chini ya serikali haramu?Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Huu uzwazwa wako ndo tunataka tuonfikane nao. Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda marekani au Kenya uone rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.
Urais ni public service Kama wewe na Mimi na ndo Mana alitupigia magoti ili tumpe hiyo service aweze kula au apate kazi vinginevyo angekuwa jobles hivyo lazima awe na customer care kubwa tusimnyanganye kazi hiyo tukampa mwingine. Wewe ukitukanwa na boss wako kazini huwa unafanyaje? Ukimind acha kazi tutafute mwingine.
Kosa la Mwingira ni kuweka wazi ukatili na roho mbaya ya serikali ya CCM.alichokifanya amekosea wapi?
Ni kweli hawa ndivyo walivyo hata Mzee wa Upako wakati wa Magufuli alikuwa anasifia sana ilipokuja suala la kusajili makanisa kila mwaka..leo hii amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali....hata huyu hakuna lolote kuna sehemu tu mrija wake umebinywa....na bahati mbaya sana wale wengine wanafurahi wanafikiri ni mwenzao!Mswahili anajiangalia nafsi yake tu. Hata huyo Mwingira itakuwa kuna maslahi yake yameguswa hapo anapiga kelele ili aachwe au atupiwe mfupa atulie.
Na kibaya zaidi kila mmoja anapenda mambo mazuri, ila hayo mambo mazuri anapenda yamkute akiwa amekaa tu ana-sip Wine.
Unaweza kumkuta mtu anaponda kazi fulani, anamsema mtu fulani kwamba yeye hawezi kushirikiana naye halafu nyuma ya pazia ndio mshirika wake.
Sasa wewe msikilize utajikuta umebaki peke yako.