Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Imagine this.Wapi amesema anapambana na serikali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine this.Wapi amesema anapambana na serikali?
Haujajibu swali ipasavyo, sasa kipi bora ukiona unaonewa au ukiona kuna mambo ya hovyo. Bora kukaa kimya au kusema??Issue siyo kukaa kimya ila ukianzisha vita, unaopigana nao wakikujibu hatutaki MALALAMIKO meeengi kuwa unaonewa.
Kwasababu ukianzisha vita maana yake umeona unaiweza.
Wazazi wanashauriwa wasizae wakiwa wamelewaMwingira ni sawa na 0 punje kwa Serikali inaouwezo ima wa kumnyamzisha ama kumfanya lolote itakalo
Huku kwetu kuna watu wanakiona na kukitukuza cheo cha urais, huku Rais ni mtukufuHuu uzwazwa wako ndo tunataka tuonfikane nao. Eti rais anaweza kufanya chichote na kwa wakati wowote! Kwani rais yuko juu ya Sheria au ni nyie mnaomkuza tu na kwa sababu ya elimu duni. Nenda marekani au Kenya uone rais anavyojambishwa mpaka anaombaga msamaha kwa wananchi.
Urais ni public service Kama wewe na Mimi na ndo Mana alitupigia magoti ili tumpe hiyo service aweze kula au apate kazi vinginevyo angekuwa jobles hivyo lazima awe na customer care kubwa tusimnyanganye kazi hiyo tukampa mwingine. Wewe ukitukanwa na boss wako kazini huwa unafanyaje? Ukimind acha kazi tutafute mwingine.
@victorieVictoire? 🙂
MimI ID yako tu. HahahaAlisema hivyo ? Kama kweli why hakusema jamaa akiwa hai ?
Mwingira ni sawa na 0 punje kwa Serikali inaouwezo ima wa kumnyamzisha ama kumfanya lolote itakalo
Nyie mnajisahau sana!Mwingira ni sawa na 0 punje kwa Serikali inaouwezo ima wa kumnyamzisha ama kumfanya lolote itakalo
Kuweka wazi Namna Mwendakuzimu alivyotaka Kumuua ndio Kushindana na Dola ?, How ?Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Mtu akiongea ukweli anapambana na serikali? Takataka kabisa 🚮Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
Mawazo yako ya kijinga kama aliyokuwa nayo Magu hayajakutoka...kwamba mtu akiongea ukweli ambao haukupendezi inabidi auawe...haya sasa, huyo Punda yuko wapi sasaiv?Wabongo ni Mabingwa sana wa USHABIKI na UNAFIKI.
Wataku-PUMP balaa ili ujichomeke kwenye VITA ukifikiri wako na wewe. Likikutokea lolote unajikuta uko peke yako.
Kama huwajui wabongo muulize Mange Kimambi, Mbowe, na Tundu Lissu.
Lissu aliwahi kukasirika mpaka kuita Taifa la waomba Mungu🤣
In short, Ili uonekane shujaa unatakiwa kuwa unaiponda sana serikali na Rais halafu na Rais anatakiwa akuache tu maana ndio unajijenga hivyo.
Na sasa hivi kwasababu ni Rais muislam, akianza kumpiga battle huyo mwingine, propagandanists wanaweza kuja na stori za kwasababu ni Mkristo, na unajua mashabiki wa bongo hawana akili.
Ila Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na hakuna kitu utafanya.
Yuko wapi Azory Gwanda, Kanguye na Ben Saanane. Leo kila shabiki anaendelea na maisha yake utafikiri hakuna kitu kilichotokea.
Busara ni moja, usijiingize kupigana VITA ambayo unajua kabisa HUWEZI KUSHINDA.
Hakuna popote Mwingira aliposema kuwa anapambana na serikali, na hakuna yoyote aliyesema kuwa Mwingira anapambana nan serikali.Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo.
Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua kukimbia Nchi.Na ndicho kinaenda kutokea kwa huyo nabii wa kujiita.
kwa mtutu wa bunduki?Yeye ni mama na wao ni vijana...
Wakimzingua anawazingua...
Hizi allegations umezileta hapa JF kujibu mahubiri yake?Bil 3 za nani?Bank a/c yake una access nayo na unafuatilia balance zake ukiwa wapi?Funguka.Yule ni mhuni na tapeli.
Serikali ilifunga benki yake kwa sababu pesa nyingi za hovyo zilikuwa zinapitia kwake akafura!
Serikali imemnyang'anya mashamba aliyowadhulumu wananchi akafura!
Kuna tetesi Serikali inaendelea kumhoji ni wapi zaidi ya pesa bilioni 3 zilizopitia kwenye ac yake zilitokea na imezuia yeye kuzichukua benki amefura!
Mwingira hana usafi huo wa kufikia kuinyooshea kidole mamlaka eti kwa nyendo zake yule ni mzee wa fursa.
Wewe mawazo ya kijanja kama aliyokuwa nayo babu yako yako wapi ? Huna akiliMawazo yako ya kijinga kama aliyokuwa nayo Magu hayajakutoka...
Ukweli ni nini ?kwamba mtu akiongea ukweli ambao haukupendezi inabidi auawe...haya sasa, huyo Punda yuko wapi sasaiv?