Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

Sawa hawapo je yeye yupo? Mungu ni Fundi siku zote

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Suala sio kutishwa.

Tuuma alizitoa, zilipe jeshi la polisi nafasi ya kuaminika na RAIA.
 
Aina hii ya siasa kwa nchi za kiafrika ni ya kijima sana .

Ingawa sikubaliani na Mwingira,

Ila sioni sababu ya state apparatus kushughulika na raia ambaye anatumia haki yake tu ya kutoa maoni.

Tujifunze kuvumiliana katika jamii zetu.

Nchi nzima hatuwezi kuwa mazombie.

Acha watu waongee.

Mbona Mungu mwenyewe katupa uhuru wa kuchagua sembuse sisi binadamu??

Haya mambo ya kijima tuachane nayo jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…