Msingi tu iwe 13m?! Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia!

Msingi tu iwe 13m?! Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2.
Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4.
Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m.

Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi.

Huyu ni fundi wa kawaida sio injinia. Ni hawa wanaotumiwa na engineers kufanya kazi, sijui ndio foreman! Anasema mjengo huo msingi na nguzo zake gharama ya ufundi ni 13m. Kwamba hiyo kazi ni kubwa itahitaji mwezi 1.5 mpaka 2. Hiyo ni nje ya msosi na vifaa vingine kama kukodi mashine ya zege.

Nini tena niweke isaidie kupata picha?

Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia kuogopesha. Nimemwambia asubuhi kwanza nimalizie vibali.
 
Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2.
Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4.
Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m.

Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi.

Huyu ni fundi wa kawaida sio injinia. Ni hawa wanaotumiwa na engineers kufanya kazi, sijui ndio foreman! Anasema mjengo huo msingi na nguzo zake ni 13m. Kwamba hiyo kazi ni kubwa itahitaji mwezi 1.5 mpaka 2. Hiyo ni nje ya msosi na vifaa vingine kama kukodi mashine ya zege.

Nini tena niweke isaidie kupata picha?

Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia kuogopesha. Nimemwambia asubuhi kwanza nimalizie vibali.
unless unataka msingi uwe na ratio ilioshiba, au pia ramani ipo complicated kidogo, japo hata kama ni hivyo, ila kwa hivo vipimo maybe 6-8M maximum ndio inaweza fika, but ni vema umuulize fundi not foreman, mpelekee ramani fundi yeyote tu umpe hata ya soda umwambie akwambie huo msingi wa hio nyumba inaweza fika sh ngapi? akuchambulie akwambie utajua.

NOTE: Usimwambie ni yako, mdanganye tu ni ya mzazi wako yupo mkoani amekuuliza ndo unamtaftia jibu.
 
Huyo jamaa ni fundi(labda nakosea kumwita foreman). Niliona kazi yake moja matata japo ilikuwa nyumba ya kawaida. Nilivyomwingia akanipeleka kwenye ghorofa anazojenga
 
Unatupa kazi kubwa sana kufanya imagination ya hiyo site yako bila vipimo stahili.

Hatujui nature ya eneo lako kama lipo Mlimani ama tambarare.

Lakini hujatoa ufafanuzi kama kwenye hiyo bajeti imehusisha nondo/kokoto/saruji/Mchanga na materials nyingine kama Maji n.k

Kila la heri though 👏👏👏👏👊
 
Weka ramani tuone
il_794xN.4510717366_e9g0.jpg

Linataka kufanana na hii.
 
Unatupa kazi kubwa sana kufanya imagination ya hiyo site yako bila vipimo stahili.

Hatujui nature ya eneo lako kama lipo Mlimani ama tambarare.

Lakini hujatoa ufafanuzi kama kwenye hiyo bajeti imehusisha nondo/kokoto/saruji/Mchanga na materials nyingine kama Maji n.k

Kila la heri though 👏👏👏👏👊
Mkuu nimejaribu kuweka vipimo kwenye main body. Eneo ni tambarare. Niweke vipimo vipi vingine hapo
 
Mkuu nimejaribu kuweka vipimo kwenye main body. Eneo ni tambarare. Niweke vipimo vipi vingine hapo
Niliposoma andiko lako Kwa mara ya kwanza hukuwa umeviweka.

Vipi kuhusu hizo materials, yamekuwa included kwenye hiyo gharama?

Kwa maoni yangu, gharama kubwa zimebebwa na chuma(Nondo).

Ukiweza nenda kiwandani kanunue ili kupunguza gharama

Kwa maana hapo roughly sio Chini ya tani 4 za chuma zitaingia hapo Chini
 
unless unataka msingi uwe na ratio ilioshiba, au pia ramani ipo complicated kidogo, japo hata kama ni hivyo, ila kwa hivo vipimo maybe 6-8M maximum ndio inaweza fika, but ni vema umuulize fundi not foreman, mpelekee ramani fundi yeyote tu umpe hata ya soda umwambie akwambie huo msingi wa hio nyumba inaweza fika sh ngapi? akuchambulie akwambie utajua.

NOTE: Usimwambie ni yako, mdanganye tu ni ya mzazi wako yupo mkoani amekuuliza ndo unamtaftia jibu.
Una utani sana kwa ghorofa hakuna msingi wa 6-8m ,hiyo ni nyumba ya kawaida ..
 
Niliposoma andiko lako Kwa mara ya kwanza hukuwa umeviweka.

Vipi kuhusu hizo materials, yamekuwa included kwenye hiyo gharama?

Kwa maoni yangu, gharama kubwa zimebebwa na chuma(Nondo).

Ukiweza nenda kiwandani kanunue ili kupunguza gharama

Kwa maana hapo roughly sio Chini ya tani 4 za chuma zitaingia hapo Chini
Maelezo yako yamefanya ni-edit uzi. Hiyo 13m ni bei ya ufundi kujenga msingi na nguzo. Materials hayapo hapo
 
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺

SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha

Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!

Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro

🪖🦺 Shebwa Masonry Contractor 🪖🦺
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.

Kwa Nini Utuchague?
🪖. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
🪖. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
🪖. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
🪖. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango

Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
🔨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.

⛏️. Uwekaji wa Paa (Roofing):

🔨. Uwekaji wa Tailizi (Tiles Installation)

⛏️. Upakaji wa Rangi: Kupaka rangi ndani na nje ya nyumba.

🔨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.

⛏️. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.

🔨. Ufungaji na Ukarabati wa Mifereji ya Maji:

⛏️. Ukarabati wa Dari: Kurekebisha nyufa, uharibifu wa maji, au kudorora kwa dari.

🔨. Uwekaji na Ukarabati wa Uzio:

⛏️. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin

🔨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma

⛏️. Tuulize kuhusu huduma unayohitaji ambayo haija orodheshwa.

Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Back
Top Bottom