Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Mimi nnamini katika ubora sio siasa. Kazi zangu huwa nasimamia mwenyewe na huwa natoa maelekezo kwa mafundi kuanzia ratio nk nk! Material na estimate mwenyewe na akifika site anafwata nnachosema na sio kingine.
NB: kama huna experience ya uhandisi jiandae kila saa kuhisi unapigwa tu!
NB: kama huna experience ya uhandisi jiandae kila saa kuhisi unapigwa tu!