The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Wanakupiga mkuu tena mchana kweupe...Napigwa eeeh?
Wanakupiga mkuu tena mchana kweupe...Napigwa eeeh?
Wewe ungelipa ngapi hapoWanakupiga mkuu tena mchana kweupe...
Mkuu ukifuata stages zote za ujenzi huwezi kuwa suprized na bei. kuna watu wako soo professional mtu aliyekuchorea ramani kama ni mtaalamu na umemlipa hela yake nzuri anakupa bill of material kutokana na stage ya ujenzi unayofanya sasa ukimpata huyo foreman unatambaa tu na karatasi yako inayoonyesha mgawanyo wa gharama kulingana stages,... tatizo watu wengi wanazarau hizi stage za ujenzi. ukitaka upate unafuu katika ujenzi usiruke stage hata moja ( cheap is always expensive)Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2.
Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4.
Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m.
Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi.
Huyu ni fundi wa kawaida sio injinia. Ni hawa wanaotumiwa na engineers kufanya kazi, sijui ndio foreman! Anasema mjengo huo msingi na nguzo zake gharama ya ufundi ni 13m. Kwamba hiyo kazi ni kubwa itahitaji mwezi 1.5 mpaka 2. Hiyo ni nje ya msosi na vifaa vingine kama kukodi mashine ya zege.
Nini tena niweke isaidie kupata picha?
Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia kuogopesha. Nimemwambia asubuhi kwanza nimalizie vibali.
Fundi ndio anataka 13m ya ufundi tu
- Tofali nzito zipo 2150
- Nondo 16mm zipo 75
- Cement zipo 150. Anasema haitoshi msingi na nguzo